Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Kwa ujumla Kuna na mna walivyo fisadi kupitia vyeo vyao au nafasi zao japo Mambo mengi haya wekwi waziJe, Dr. Ulimboka aliyetekwa na kisha kung'olewa meno bila ganzi alikuwa fisadi??? Alifisidi nini??
Je, Tundu Lissu aliyemiminiwa na kukogeshwa mvua za marisasi alikuwa fisadi??Vipi kuhusu Mchungaji Mtikila naye alikuwa fisadi??
Je, yule Peter Tyenyi ( mwenzao) naye alikuwa fisadi???
Je, hao wahadhiri wa vyuo vikuu ambao wengi wamekuwa wakiuawa au kufa katika mazingira yenye utata kama vile kushambuliwa kwa silaha(bunduki, mapanga,n.k) nao ni mafisadi??? Wamefisidi kitu gani???Je,
hao watu wote wanaofanyiwa uovu mbaya kabisa wa kishetani nao ni mafisadi??????
Si rahisi serikali kuku weka kwenye danger zone Kama hauji husishi na kuharibumasrahi ya serikali yenyewe
Fikilia mama au mtoto wako yupo hospital amezidiwa
Sawa zipo huduma zote zipo doctor anakuambia sita weza kumtibu mama Wala mtoto wako mpaka niongezewe mshahara
Wakati huo mgonjwa wako anafurukuta aokoe nafsi yake lakini dactari haoni hofu Wala huruma mpaka wagonjwa wako Wana kufa kinyama uta mfanyaje dactari huyo?
Lakini pia Jamba zi anaingia kwako anapokonya chakula Cha watoto zako unatafta namna ya kumdhibiti lakini mtoto wako mkubwa anaenda kuku shtaki kwa barozi kwamba una mnyanyasa mgeni wako
Na anafika mbaali zaidi kwa kumpa mbinu jambazi za kuku dhibiti wewe ili jambazi azidi kuiibia kuinyanyasa na hata kuchukua maisha ya familia yako he uta mfanya Nini mtoto huyo
Mkuu Usarama wa taifa unanyanja nyingi na usinge kuwepo hapa tulipo pangekuwa hapa kaliki