Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k.

Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi. Katibiwe au peleka mgonjwa wako ukiwa na hilo akilini.
 
Nimeandika nikafuta,ila weka akiba ya maneno ndugu yangu,mababu zako walitibiwa na tiba gani? Hii dunia hakuna sehemu utapata tiba ya uhakika kwa 100%. Ndio maana hata dawa zinazotolewa huwa zinaendelea kufanyiwa utafiti wakati wa matumizi ziwapo sokoni. Usilolijua ni usiku wa kiza.
 
Ipo mitishamba kibao inatibu. Kuna mmoja unatibu kikohozi vizuri sana. Na mababu wa kale waliijua. Hawa wa leo wote matapeli. Kama unaenda nenda. Lakini fahamu hamna kitu.
 
Ubaya wa mitishamba hauna accuracy. Unatrace trace tu Mara dawa ya kusafisha nyota unauziwa utibu vidonda vya tumbo. Hiyo hiyo inakomesha majirani sugu. Yan tafrani kabisa. Ila ikibahatisha unapona
Nimekaa na watu waliopiga hizo kazi. Kipindi UKIMWI upo juu kuna watu walipiga pesa nyingi sana. Walikuwa matajiri wakubwa sana. Lakini anasema walikuwa wanaokotaokota tu mitishamba maporini huko na mizizi ya uongo na kweli. Mara inatibu pressure ya kushuka, hata huyo Dr hajui pressure ya kushuka ni kitu gani.
 
Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k.

Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi. Katibiwe au peleka mgonjwa wako ukiwa na hilo akilini.

Nakubali kabisa
 
Wataalamu wa mitishamba sio matepeli sisi wateja ndo matapeli wa miili yetu, imagine mtu kashindilia misumu miaka zaidi ya kumi leo imereact na ugonjwa juu unakimbilia kwa dokta wa mitishamba as a shortcut kwa sababu chemical za mzungu zimedunda ama zimeongeza tatizo. Ukipewa masharti ya detoxification mwezi mzima kabla ya matibabu unaona kama adhabu vile ama anakupiga sound afu unakimbilia mtandaoni ooh wataalamu wa mitishamba matepeli.
You are the tapeli one kuanzia eating, drinking, substances taking, exercising, in general your whole life style is a mess period.
 
Mjini hap wengi matapeli.. lakini bush uko kuna dawa zinatibu kweli
Bush nako wamejaa matapeli kibao. Madawa mengi ya mitishamba huwa yanatibu minyoo na wadudu wengine tumboni. Dawa za kutibu hayo ni nyingi, nu vitu rahisi kutibu. Hata pilipili inatibu minyoo. Sasa hizi habari za figo na UTI/Std na kisukari na ugumba nyingi utapeli
 
Wataalamu wa mitishamba sio matepeli sisi wateja ndo matapeli wa miili yetu, imagine mtu kashindilia misumu miaka zaidi ya kumi leo imereact na ugonjwa juu unakimbilia kwa dokta wa mitishamba as a shortcut kwa sababu chemical za mzungu zimedunda ama zimeongeza tatizo. Ukipewa masharti ya detoxification mwezi mzima kabla ya matibabu unaona kama adhabu vile ama anakupiga sound afu unakimbilia mtandaoni ooh wataalamu wa mitishamba matepeli.
You are the tapeli one kuanzia eating, drinking, substances taking, exercising, in general your whole life style is a mess period.
Wanakunywesha vimiminika vichungu kuwa ndiyo detoxification!!? Si kulishana sumu zaidi.
 
Nani aliyekuambia dawa ni tamu Sumu ndo tamu na ndo mnazibugia daily wewe mkeo watoto mpaka wajukuu na mnazipenda kweli.
Dawa siyo lazima iwe chungu. Inaweza kuwa tamu kama sukari na kutibu. Mmekarori uchungu ndiyo unaponya, kama mlivyokariri kuwa bia chungu ndiyo inalewesha zaidi. Uchungu ni onyo kwa binadamu na wanyama kukaa mbali na kitu hicho.
 
Back
Top Bottom