Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

Dawa siyo lazima iwe chungu. Inaweza kuwa tamu kama sukari na kutibu. Mmekarori uchungu ndiyo unaponya, kama mlivyokariri kuwa bia chungu ndiyo inalewesha zaidi. Uchungu ni onyo kwa binadamu na wanyama kukaa mbali na kitu hicho.
BB- Basic biology
 
Tiba mbadala/Mitishamba zipo sema wanaouza hizo tiba ndio wanafanya UTAPELI kwa kuuza contents siyo.
 
Dawa siyo lazima iwe chungu. Inaweza kuwa tamu kama sukari na kutibu. Mmekarori uchungu ndiyo unaponya, kama mlivyokariri kuwa bia chungu ndiyo inalewesha zaidi. Uchungu ni onyo kwa binadamu na wanyama kukaa mbali na kitu hicho
Healing process is never sweet,
 
Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k.

Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi. Katibiwe au peleka mgonjwa wako ukiwa na hilo akilini.
...Weka Akiba ya Maneno kidogo Mkuu, maana Hata hizo za Hospitali unazoonyesha kuzipapatikia Sana zimetoka humuhumu Kwa miti ya Tiba Mbadala!..Miti na Mizizi Sio Tapeli, Waganga ndio Wengine Matapeli !!
 
kweli usemayo lakini mitishamba inahitaji utaalamu. Madagascar walikuwa na dawa ya mitishamba. Walitumia kutibu kisukari. Watafiti walipokuja wakagundua haitibu kisukari hata kidogo. Badala yake inatibu kansa. Hadi leo ni dawa ya kansa. Dawa zinatoka huko ila zinahitaji utaalamu. Kilichopo eo ni utapeli.
 
Labda hao uliotaja ila sio dawa ebu katafute miti inaitwa mshigishi na mfuleta huku lushoto ujue Tiba babu yangu alipona TB kwa hizo dawa sema ukioverdose unakufa mapema Zina nguvu kinyama watafute wazee wa milimani wanajua huku hata wapare
 
Mfano huyu kenge namfahamu vizuri kanitumia hizi takataka
IMG_20221008_220534.jpg
 
Unakuta mtu anamuita Mnyakyusa nabii tangu lini Mnyakyusa akawa nabii? Alafu utaskia aposto huku kuna muujiza,,, nini kimetokea ,, eti katapika ng'ombe mzima..

Mafala wataliwa sana
 
Alisema tabibu .....baada ya kumpa mtu maji ya ndulele, limao na mafuta ya taa kama tiba ya jino
Mnaangamia kwa kukosa maarifa, elimu ya chuo kikuu haitoshi, kama ingetosha kutibu jino hata usingehitaji tabibu
Lifestyle ndo somo mlokosa mnakaririsha kusukutua na dawa zenye mint ndo mnaona fresh breath pua yu
 
Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k.

Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi. Katibiwe au peleka mgonjwa wako ukiwa na hilo akilini.
Inaitwa placebo effect hata huku mahospitalini tunatumia kutibu watu kwa vidonge vya sukari! The trick is to convince your brain to treat itself kwa kuamini kupitia matibabu fulani ambayo kiuhalisia ni majani au mizizi tu au vidonge vyenye sukari japo zipo herbs zinazofanya kazi kweli.

Atleast wanakua wamekusaidia kuamni kwamba kupitia kitu fulani au Mungu fulani umepona japo kuwa placebos haziponyi zinatoa unafuu tu.
 
Back
Top Bottom