Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ipo mitishamba kibao inatibu. Kuna mmoja unatibu kikohozi vizuri sana. Na mababu wa kale waliijua. Hawa wa leo wote matapeli. Kama unaenda nenda. Lakini fahamu hamna kitu.Nimeandika nikafuta,ila weka akiba ya maneno ndugu yangu,mababu zako walitibiwa na tiba gani? Hii dunia hakuna sehemu utapata tiba ya uhakika kwa 100%. Ndio maana hata dawa zinazotolewa huwa zinaendelea kufanyiwa utafiti wakati wa matumizi ziwapo sokoni. Usilolijua ni usiku wa kiza.
Nimekaa na watu waliopiga hizo kazi. Kipindi UKIMWI upo juu kuna watu walipiga pesa nyingi sana. Walikuwa matajiri wakubwa sana. Lakini anasema walikuwa wanaokotaokota tu mitishamba maporini huko na mizizi ya uongo na kweli. Mara inatibu pressure ya kushuka, hata huyo Dr hajui pressure ya kushuka ni kitu gani.Ubaya wa mitishamba hauna accuracy. Unatrace trace tu Mara dawa ya kusafisha nyota unauziwa utibu vidonda vya tumbo. Hiyo hiyo inakomesha majirani sugu. Yan tafrani kabisa. Ila ikibahatisha unapona
Na zinaua kweli. Assume umekunywa madumu sijui arobaini ya dawa ya Rahabu!Bora ziishie kwenye kuto kutibu kuliko kuharibu na Figo
Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k.
Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi. Katibiwe au peleka mgonjwa wako ukiwa na hilo akilini.
Kikombe kimoja kinatibu kila aina ya ugonjwa!!Kama wa masai ndo usije jaribu dawa yao ya ukweli wanayo huza ni ugoro tu.
Bush nako wamejaa matapeli kibao. Madawa mengi ya mitishamba huwa yanatibu minyoo na wadudu wengine tumboni. Dawa za kutibu hayo ni nyingi, nu vitu rahisi kutibu. Hata pilipili inatibu minyoo. Sasa hizi habari za figo na UTI/Std na kisukari na ugumba nyingi utapeliMjini hap wengi matapeli.. lakini bush uko kuna dawa zinatibu kweli
Wanakunywesha vimiminika vichungu kuwa ndiyo detoxification!!? Si kulishana sumu zaidi.Wataalamu wa mitishamba sio matepeli sisi wateja ndo matapeli wa miili yetu, imagine mtu kashindilia misumu miaka zaidi ya kumi leo imereact na ugonjwa juu unakimbilia kwa dokta wa mitishamba as a shortcut kwa sababu chemical za mzungu zimedunda ama zimeongeza tatizo. Ukipewa masharti ya detoxification mwezi mzima kabla ya matibabu unaona kama adhabu vile ama anakupiga sound afu unakimbilia mtandaoni ooh wataalamu wa mitishamba matepeli.
You are the tapeli one kuanzia eating, drinking, substances taking, exercising, in general your whole life style is a mess period.
Nani aliyekuambia dawa ni tamu Sumu ndo tamu na ndo mnazibugia daily wewe mkeo watoto mpaka wajukuu na mnazipenda kweli.Wanakunywesha vimiminika vichungu kuwa ndiyo detoxification!!? Si kulishana sumu zaidi.
Dawa siyo lazima iwe chungu. Inaweza kuwa tamu kama sukari na kutibu. Mmekarori uchungu ndiyo unaponya, kama mlivyokariri kuwa bia chungu ndiyo inalewesha zaidi. Uchungu ni onyo kwa binadamu na wanyama kukaa mbali na kitu hicho.Nani aliyekuambia dawa ni tamu Sumu ndo tamu na ndo mnazibugia daily wewe mkeo watoto mpaka wajukuu na mnazipenda kweli.