Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.

Screenshot_20230204-041223_Instagram.jpg
Screenshot_20230204-041229_Instagram.jpg
 
Kuna namna nyingi za kucolonize akili za watu na moja wapo Ni hii.

Kwakua bado Tanzania Ni moja wapo ya nchi maskini (kifkra) kutokana na serikali kuwanyima watu wake elimu na maarifa ya kujitambua, kutambua wajibu wa serikali na wajibu wao ndio maana mkoloni mweusi anazidi kutunyonya kwa manufaa yake!

Kiongozi wa chama kikichoshika Dola kwa miaka sitini bila aibu anashindwa kutambua kwamba yeye na serikali yake wameshindwa kumwekea mwananchi Huyo Mazingira Bora kisera ili awwze kufanya shughuli yake hiyo katika Mazingira Bora Safi na salama wakati wote (wa jua na mvua) anapika nae kumdeceive tuko pamoja!

Ukweli Ni kwamba wakitoka hapo wataenda kinywa dawa kulinda matumbo yao kwani Wana wasiwasi na Mazingira walimolia chakula.

Mama huyu alitakiwa kujengewe Mazingira rafiki ya kiuchumi (mikopo na elimu ya biashara) ili awe na Mazingira na vyombo vizuri zaidi kwa ajili ya biashara yake!

Mazingira mazuri ya kiafya tizama hata nywele hajavaa kofia watu si wanakula nywele tu hapo!
Hizi Ni cheap politics na zinawazoa watu wa Hali ya chini kabisa! Soon utamuona chongolo akikuna nazi
 
Acheni ujinga. Kuna ubaya gani mwanamke wa kiafrika kushiriki kupika? Moja ya maadili na mafundisho mazuri ambayo dada zetu au mabinti zetu wanapata kwenye familia zetu ni kupika, sasa mnataka akiwa kiongozi mkubwa kwenye chama chake aache na kutupa kando mila na asili yake ili kuwafurahisha nyie?
Kuna masuala ya msingi tunaweza tukajafili, lakini siyo ujinga kama huu.
 
Kupika ni habari???

Tuanzie hapa kwanza.
 
Acheni ujinga. Kuna ubaya gani mwanamke wa kiafrika kushiriki kupika? Moja ya maadili na mafundisho mazuri ambayo dada zetu au mabinti zetu wanapata kwenye familia zetu ni kupika, sasa mnataka akiwa kiongozi mkubwa kwenye chama chake aache na kutupa kando mila na asili yake ili kuwafurahisha nyie?
Kuna masuala ya msingi tunaweza tukajafili, lakini siyo ujinga kama huu.
Nadhani kwakua limekuna JF si vibaya kujadiliwa maana ya forum Ni sehemu ya mjadala watu watoe mawazo tifauti na hapo ndipo ujinga, upumbavu, werevu na kuelimika vitadhhirika, . Hauna audacity ya kukataza mjadala hasa kwa public figure Kama Huyo na ambaye kwa makusudi hajapikia nyumbani kwake, amepika sehemu ya umma (kwa mama lishe) ambapo Kuna watu wa Aina tofauti.

Zaidi ya hapo yupo na makamera wanampiga picha kwakuwa Kuna watu wa media picha hizo zifike sehemu tofauti tofauti Tanzania na duniani.

Dhamira yake njema watu wamjadili Kama kiongozi anayejali watu ambaye anaweza kujichanganya katika Mazingira yoyote na hata hivyo katika uenezi wa chama atasikiliza kero na nahitaji ya mama.lishe nankuyapeleka kwenye vikao vya chama na chama kitaielekeza serikali Nini Cha kufanya!

Hali kadhalika kwa kujadiliwa huko makapuku Kama Mimi tutaendelea kuamini chama kipo na sisi hata katika hustle zetu ili ujapo uchaguzi wa serikali za mitaa tukipigie Kura kwa kishindo na baada ya hapo wawe mabosi zetu tuwanyenyekee!

Pamoja na hayo tunajadili ili wengine wajitazame na waseme yao kuwa huko Ni kujipendekeza tu kwa hadhi na maisha anayoishi Mjema na Chongolo sio wa kufanya hayo, hayo Ni maigizo ya siasa cheap!

Kwhiyo bwana mzee usiwakataze watu kujadili public issue kwa namna wanavyoiona utakua narrow minded
Hii sio FB Ni GT forum
Adios
 
Nyie wapenda porojo ndiyo mmeileta hapa kama habari ya maana, mimi nimeiita ujinga. Endeleeni kujadili ujinga, sisi ngoja tujadili issues za msingi kuhusu mustakabali wa taifa letu.
Ungemueleza mpishi fake aache kuigiza upishi.Unaamini angeachiwa hilo sufuria peke yake angeivisha ugali kweli?Analeta puruzai kwenye kazi za watu?😜😜😜😜
 
Nyie wapenda porojo ndiyo mmeileta hapa kama habari ya maana, mimi nimeiita ujinga. Endeleeni kujadili ujinga, sisi ngoja tujadili issues za msingi kuhusu mustakabali wa taifa letu.
Utakua unakosea! Au hujui pia unachokiandika
Kwenye huo msafara wa viongozi wa juu wa chama Kuna waandishi wa habari (Uhuru media na Chanel ten) hao Ni lazima acha waandishi wa chama na wapiga picha wa chama na vyombo vingine ambao wana kazi maalumu ya kurecord matukio yote ya viongozi kwa ajili ya kuhabarisha umma wa CCM juu ya utendaji kazi wa viongozi wao. Usisahau pia CCM ni chama Dola kwahiyo vyombo vya habari vya kitaifa Kama tbc vitakua sambamba kuchukua matukio katika picha na sauti na kuhabarisha umma!

Kwa mantiki hiyo Basi unaposema wapenda porojo ndio wameiketa habari hii hapa utakua huvitendei haki vyombo vya habari vikivyotumika kuchukua picha na tukio Hilo na kuliltea kwa umma! Jaribu kufikiri zaidi ya unachokiona!

JPM alipewa Jogoo kibiti in exchange for his mother, mbona hukusema tbc inaleta porojo live?

JPM alikula mahindi barabarani akizungumzia kuhusu kupanuliwa mbona hukusema tbc inaleta porojo?

JPM alinunua mapapai pale bandarini na akayagawa kwa watu hukuona Ni porojo?

.JPM alionekana akinywa kahawa na kubrush viatu kule chattle kijiweni hukuona Ni porojo?
Sasa Huyo alikua mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi lakini pia Rais na amiri jeshi Mkuu wa nchi na habari zake zilifika na zikajadiliwa!
Naomba uwe Great thinker sio Mambo ya Facebook unahamishia huku utaumbuka?!
Kuna issue gani za msingi mnazojadili kuhusu Taifa Kama sio misingi ya kujinufaisha kwa hiki nachokiona kujichimbia zaidi kwenye shina.
 
Nadhani kwakua limekuna JF si vibaya kujadiliwa maana ya forum Ni sehemu ya mjadala watu watoe mawazo tifauti na hapo ndipo ujinga, upumbavu, werevu na kuelimika vitadhhirika, . Hauna audacity ya kukataza mjadala hasa kwa public figure Kama Huyo na ambaye kwa makusudi hajapikia nyumbani kwake, amepika sehemu ya umma (kwa mama lishe) ambapo Kuna watu wa Aina tofauti.

Zaidi ya hapo yupo na makamera wanampiga picha kwakuwa Kuna watu wa media picha hizo zifike sehemu tofauti tofauti Tanzania na duniani.

Dhamira yake njema watu wamjadili Kama kiongozi anayejali watu ambaye anaweza kujichanganya katika Mazingira yoyote na hata hivyo katika uenezi wa chama atasikiliza kero na nahitaji ya mama.lishe nankuyapeleka kwenye vikao vya chama na chama kitaielekeza serikali Nini Cha kufanya!

Hali kadhalika kwa kujadiliwa huko makapuku Kama Mimi tutaendelea kuamini chama kipo na sisi hata katika hustle zetu ili ujapo uchaguzi wa serikali za mitaa tukipigie Kura kwa kishindo na baada ya hapo wawe mabosi zetu tuwanyenyekee!

Pamoja na hayo tunajadili ili wengine wajitazame na waseme yao kuwa huko Ni kujipendekeza tu kwa hadhi na maisha anayoishi Mjema na Chongolo sio wa kufanya hayo, hayo Ni maigizo ya siasa cheap!

Kwhiyo bwana mzee usiwakataze watu kujadili public issue kwa namna wanavyoiona utakua narrow minded
Hii sio FB Ni GT forum
Adios
Pole sana
 
Acheni ujinga. Kuna ubaya gani mwanamke wa kiafrika kushiriki kupika? Moja ya maadili na mafundisho mazuri ambayo dada zetu au mabinti zetu wanapata kwenye familia zetu ni kupika, sasa mnataka akiwa kiongozi mkubwa kwenye chama chake aache na kutupa kando mila na asili yake ili kuwafurahisha nyie?
Kuna masuala ya msingi tunaweza tukajafili, lakini siyo ujinga kama huu.
We ndio mjinga
Kwa wapare mila zao za asili Ni mwanamke kuvaa mashati ya kijani, surali, na kofia?

Kwa wapare mchele ni chakula Cha asili?

Kupika umesimam Tena mbele ya kamera ndio Mila za asili za wapare?
Njoo nisaiidie Mshana Jr
Komaza ubongo avae
 
Back
Top Bottom