TAKATAKA TPU, VIHELA VYA CCM JITU ZIMA KAMA BWEGEMwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?