TAKATAKA TPU, VIHELA VYA CCM JITU ZIMA KAMA BWEGEMwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?
Wajinga haoWachana na wachumia tumbo
TBC na channel tenNdiyo maana yake maana ukiona mkutano wa chama cha upinzani kuna Mike ya tbc basi elewa kuwa hao ni mawakala wa ccm na siyo wapinzani
katumwa na CCM kuanzisha chamaHivi huyu nae anapambana ccm itoke madarakani? Duh aibu hii nani katuroga?
Hii nchi takataka ni mingi sana
akina pwagu na pwaguzi kazini kwenye mapambano ya nguvu ya kukosa kushika dola 😀Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?
Mbona anaongeza kama Mwakilishi wa Serikali?Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?
CCM ikaanzisha vyama pinzani kwa minajiki kama hii.Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?
ndio zinafanya kaz sana juz kati nimesikiliza mkutano mmoja wa viongoz wa ccm nikaja nikasikiliza,, mkutano wa chadema majibu nilio yapata ni chadema kutumi mbinu za chuo kumfundisha o level,, na hy haiwez leta matokea,,, mnayoyataka, ccm wanatumia mbinu za mtotoBado ccm inatumia mbinu za kizamani sana. Hayo matawi yake ndio wanadhani watatupoteza maboya.
Ccm inamachoko mengi sana Kama hilo.Huyu mzee ni mjinga sn, CHADEMA hawaungi wao wanapinga
Halafu anae ongea haya, mwenyekiti waks ni mkuu wa mkoa wa serikali ya CcmBila kutaja chadema hakuna anayejua kama wapo
Angalia msukule wa CCM huu,wamenunuliwa suti za kuja kufanyia press conference.Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.
Hapo vipi Wakuu?
Cdm hawahitaji wajinga, unapokuwa na wajinga wasiobadilika ni hasara hata kwa taifa.ndio zinafanya kaz sana juz kati nimesikiliza mkutano mmoja wa viongoz wa ccm nikaja nikasikiliza,, mkutano wa chadema majibu nilio yapata ni chadema kutumi mbinu za chuo kumfundisha o level,, na hy haiwez leta matokea,,, mnayoyataka, ccm wanatumia mbinu za mtoto
CCM imeharibu nchiCcm inamachoko mengi sana Kama hilo.