Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

Conflict of interest katika matumizi ya rasilimali fedha hapa.
 
Itabidi achague kati ya Msoga na Bashite!! Samia lazima awe muangalifu na huyo Bashite kwani taswila inayojengeka kwa wananchi kati yao haitamsaidia kisiasa!
Bashite ni kijana wao, He served in Magu's era for a purpose..
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.

“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM

My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea.
Unadhani kabisa udhalilishaji aliofanyiwa Chongolo na Makonda anaweza kumsamehe maishani mwake?

Mwanasiasa pita wewe pita kulia, Chongolo hajamaanisha anachokiongea.

Subiri nakuletea video Makonda akimdharirisha Chongolo hadharani mbele ya watumishi.
 
Hiyo haiondoi basic conflict of interest kati ya matumizi ya resources za serikali na chama.
Wengi hawawezi kumuelewa Chongolo, unajuwa Mamba anampotafuta mnyama huwa anatokwa na machozi kabisa.

Angalia hii clip wakati Makonda anamdhalilisha Chongolo.
 
Attachments

  • 20220422040712.mp4
    555.7 KB
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.

“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM

My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea.
Wote hao uliowataja mkuuu ni wachafu kuanzia GSM KUBENEA NA CLAUDS wote hao ni wachafu wana nuka afadhali hata makonda
 
Hiyo haiondoi basic conflict of interest kati ya matumizi ya resources za serikali na chama.
Katibu anajiondoa kwenye mgogoro wake na makonda ili ikitokea lakutokea yeye asihusishwe nimesema kaa chini acha kuongea katibu mkuu kimya enzi akiwa mkuu wa wilaya
 
Alisaidia kupunguza kasi ya wanaume kutelekeza watoto wao;
Alipunguza kasi ya mateja na wauza unga Dar es Salaam!, mbona Makonda kafanya mengi tu?
 
Wengi hawawezi kumuelewa Chongolo, unajuwa Mamba anampotafuta mnyama huwa anatokwa na machozi kabisa.

Angalia hii clip wakati Makonda anamdhalilisha Chongolo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ujenzi wa ofisi za chama siyo kazi ya RC. Hii inaonesha jinsi utawala ulivyopita ambavyo ulikuwa haufuati sheria wala miongozo ya kazi.
 
Wengi hawawezi kumuelewa Chongolo, unajuwa Mamba anampotafuta mnyama huwa anatokwa na machozi kabisa.

Angalia hii clip wakati Makonda anamdhalilisha Chongolo.
Mbona Hiyo clip haijaonesha uzalilishaji umefanyika wapi?
 
Alisaidia kupunguza kasi ya wanaume kutelekeza watoto wao;
Alipunguza kasi ya mateja na wauza unga Dar es Salaam!, mbona Makonda kafanya mengi tu?
Ufikiri wa kipumbavu, na haya ndio matokeo ya elimu ya kipumbavu tunayopewa, hayo yote uliyoyasema yanaamuliwa na mahakama za kisheria, nitajie hata kesi moja ya drug iliyokwenda mahakamani?au maintenance court?,ule ulikua udikiteta uchwara, nchi inahitaji strong &independent institutions!
 
View attachment 2195996
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.

“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM

My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea. Hata wewe pia nimekuwekea video hapo juu jinsi ulivyoonja jeuri ya huyu kijana
CCM wote ni wanafiki
 
huyu jamaa anamsifia kinafki MAKONDA kwani hata yeye aliwahi kupigwa na kitu kizito kichwani na makonda
 
Huko kwenye chama utendaji wake tunawaachia ninyi wenyewe...

Ishu ipo kwenye utendaji wake kwenye masuala ya umma na namna alivyoishi na wananchi...
 
Back
Top Bottom