Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite ni kijana wao, He served in Magu's era for a purpose..Itabidi achague kati ya Msoga na Bashite!! Samia lazima awe muangalifu na huyo Bashite kwani taswila inayojengeka kwa wananchi kati yao haitamsaidia kisiasa!
Unadhani kabisa udhalilishaji aliofanyiwa Chongolo na Makonda anaweza kumsamehe maishani mwake?Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM
My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea.
Wengi hawawezi kumuelewa Chongolo, unajuwa Mamba anampotafuta mnyama huwa anatokwa na machozi kabisa.Hiyo haiondoi basic conflict of interest kati ya matumizi ya resources za serikali na chama.
Wote hao uliowataja mkuuu ni wachafu kuanzia GSM KUBENEA NA CLAUDS wote hao ni wachafu wana nuka afadhali hata makondaKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM
My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea.
Katibu anajiondoa kwenye mgogoro wake na makonda ili ikitokea lakutokea yeye asihusishwe nimesema kaa chini acha kuongea katibu mkuu kimya enzi akiwa mkuu wa wilayaHiyo haiondoi basic conflict of interest kati ya matumizi ya resources za serikali na chama.
Kuna kila dalili ya Chongolo kung'olewa ccm
Kuna kila dalili ya Chongolo kung'olewa ccm
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wengi hawawezi kumuelewa Chongolo, unajuwa Mamba anampotafuta mnyama huwa anatokwa na machozi kabisa.
Angalia hii clip wakati Makonda anamdhalilisha Chongolo.
Mbona kama tumekua taifa linaloabudu sana uteuzi?Na soon Dogo atalamba uteuzi...
Argue with your keyboard
Na soon Dogo atalamba uteuzi...
Argue with your keyboard
Pumbavu kabisa wewe. Unawapa maksi hizo unatoa wapi? Labda matakoni kwa MakondaMagufuli oyeee
Makonda oyeee
Viongozi wazuri TU Ila makonda Nampa 67% uchapakazi
Magufuli Nampa 80%
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mbona Hiyo clip haijaonesha uzalilishaji umefanyika wapi?Wengi hawawezi kumuelewa Chongolo, unajuwa Mamba anampotafuta mnyama huwa anatokwa na machozi kabisa.
Angalia hii clip wakati Makonda anamdhalilisha Chongolo.
Ndio maana public fund zinatumika ndani ya chamaHiyo haiondoi basic conflict of interest kati ya matumizi ya resources za serikali na chama.
Ufikiri wa kipumbavu, na haya ndio matokeo ya elimu ya kipumbavu tunayopewa, hayo yote uliyoyasema yanaamuliwa na mahakama za kisheria, nitajie hata kesi moja ya drug iliyokwenda mahakamani?au maintenance court?,ule ulikua udikiteta uchwara, nchi inahitaji strong &independent institutions!Alisaidia kupunguza kasi ya wanaume kutelekeza watoto wao;
Alipunguza kasi ya mateja na wauza unga Dar es Salaam!, mbona Makonda kafanya mengi tu?
CCM wote ni wanafikiView attachment 2195996
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM
My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea. Hata wewe pia nimekuwekea video hapo juu jinsi ulivyoonja jeuri ya huyu kijana