Pre GE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu tuhuma zake kuhusu muungano hunakili vifungu vya katiba, je katibu mkuu wako kanakili pia vifungu kutetea hoja?
 
Hata kichaa akiona mtu mwenye akili timamu anamuona ni chizi. Hebu soma comments za watu juu ya threads zako ujione kuwa wewe siyo mzima.
Kwa hiyo wewe inaangalia komment ndio unahitimisha hoja yako? Ndio nani alikufundisha hivyo mawazo dhaifu kiasi hicho? Kwa hiyo kwako wewe na tuakili twako huto huto unaaamini kuwa jambo likiungwa nawatu wengi ndio linakuwa la kweli mna likipingwa na wengi hata kama ni la ukweli linabadilika kuwa la uongo?umewahi kusoma habari za Galileo?
 
Haina mvuto kwako wewe na upeo wako.lakini wananchi wameona namna ilivyo na tija ,kwa kuwa wamepata nafasi ya kusikilizwa kero zao mbalimbali na kupatiwa majibu.
. Usiwe muongo kupitiliza aise.. Huyu muenezi wa sasa huwezi kulinganisha na waliopita hata kidogo...


. Kama tungelikuwa na chama pizani imara, FISIEMU mungeliwa Kichwa mapema sana.
 
U Nilizisoma wakati bado uko kwenye boxer ya dingi wako.
 
Yaani bora hata mngekuwa mnakaa kimya
Mnavyoongea ongea ndio mnazidi kututibua watanzania
Labda mmemuelewa CCM
Ila sio sisi wazalendo

Nimebubujikwa na machozi ya huzuni
 
Yaani bora hata mngekuwa mnakaa kimya
Mnavyoongea ongea ndio mnazidi kututibua watanzania
Labda mmemuelewa CCM
Ila sio sisi wazalendo

Nimebubujikwa na machozi ya huzuni
Watanzania wamekataa kabisa kumuunga mkono na kuunga mkono kauli za kibaguzi na chuki kutoka kwa Lissu. Watanzania wanapenda siasa ila siyo siasa za kibaguzi na kuchochea chuki kama afanyavyo Lissu aliyefirisika kihoja.
 
Wabubujikwa na machozi wananchi wa singida!
 
Yeye kaenda na kaondoka, Lisu ni kwao, hivi yuko njiani kuelekea Singida na gari lililoshambuliwa kwa risasi. Mwambie Katibu wako arudi wafanye mdahalo.
 
Mbaguzi na mwenye maneno ya kuleta chuki inakuaje bado yuko mtaani? Unamaanisha serikali na mahakama ya Tanzania ni dhaifu?
 
Lissu hoja zake kuzijibu inatakiwa uwe na akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…