Pre GE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

Pre GE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeye kaenda na kaondoka, Lisu ni kwao, hivi yuko njiani kuelekea Singida na gari lililoshambuliwa kwa risasi. Mwambie Katibu wako arudi wafanye mdahalo.
Katibu Mkuu wetu hawezi kufanya mdahalo na watu wasiojitambua .
 
Ulikosa malezi ya wazazi wako katika makuzi yako. ,ndio maana huna hekima wala busara wala staha.upo upo tu hata hujitambui.
Wewe ambaye humjui baba mzazi ndiye una sifa hizo. Unafikiri ungekuwa na baba angekuacha uaabishe ukoo kwa huu upumbavu unaofanya humu JF. Muulize vizuri mama yako usikute mimi ndiye baba yako halisi ili nije nikusaidie maana unakoelekea utaokota makopo.
 
Lissu baada ya kuona hotuba ya Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi zimezima na kusambaratisha hoja zake ,ameamua sasa arejee tena Singida June 1 kujaribu kujisafisha.baada ya kugundua kuwa wananchi wana hasira kali zidi yake na wala hawataki hata kumuona.
We mpumbav mbona unapungua akili au RUBA wa kwenye Ng'olezi ya mpunga wamekunyoosha? wananchi wawe na hasira na Lissu kwa kwa lipi au wewe hapo ulipo una hasira dhidi ya LISSU kwa Lipi alilokukosea? Kwa taarifa yako hakuna anaependwa na wananchi wa tz kama Lissu na huwe linganisha na mtu yeyote ambae bado anapumua hapa tz na nikukumbushe ukimchukia sana Lissu ujue kabisa kaburi limekusogelea na jehanam kunakuhusu kama huta muulize kiongozi uchwara wa mashetwani.
 
Mkuu ukiamua kuwa muumini wa kauli hii basi uwe mwaminifu kwayo, kama hoja ni kupangua hoja za Lisu mambo ya michango yanaingiaje kwenye hoja hii tena!!

Tulia kwenye hoja yako Mkuu!!
Lissu Hana Hoja Zaidi ya Kauli za kibaguzi na chuki zake zinazotokana na kukatalika na watanzania.
 
We mpumbav mbona unapungua akili au RUBA wa kwenye Ng'olezi ya mpunga wamekunyoosha? wananchi wawe na hasira na Lissu kwa kwa lipi au wewe hapo ulipo una hasira dhidi ya LISSU kwa Lipi alilokukosea? Kwa taarifa yako hakuna anaependwa na wananchi wa tz kama Lissu na huwe linganisha na mtu yeyote ambae bado anapumua hapa tz na nikukumbushe ukimchukia sana Lissu ujue kabisa kaburi limekusogelea na jehanam kunakuhusu kama huta muulize kiongozi uchwara wa mashetwani.
Sasa PS kama huyu unategemea atakuwa na akili gani? usitumie nguvu kuua sisimizi tumia nguvu kuua Simba mzee
 
Bora hata chongolo alikuwa na angalau muonekano wa hiyo nafasi lakini huyu Nchimbi kajichimbia sijui wapi halafu mwenezi aliyenenepa ndo hata kusikika hakuna yaani kama chama kimekufa na kuna uwezekano mama akamrudisha makonda hata kama kuna matukio alikuwa anayatengeneza ku draw attention angalau alifuatiliwa sasa huyu Makala bora hata sofia mjema
 
Back
Top Bottom