Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa Simiyu.

Kauli hiyo ya Chongolo imekuja baada ya miezi mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoiagiza Wizara hiyo kushughulikia changamoto hiyo.

Katika maelezo yake alipokuwa ziarani Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Jumatano Juni Mosi, 2022, Chongolo amesema kuwapo kwa changamoto hiyo hadi sasa ni ishara kwamba Wizara husika imekaidi au kudharau maelekezo ya Rais.

"Hatuwezi kuwa na watu wanaoagizwa na Rais juu ya kuchukua hatua hawafanyi wanakaa ofisini, hii inaleta matatizo kwa wananchi na inaonyesha dharau kwa aliyekuagiza," amesema.

Amewahakikishia wananchi ndani ya mwezi mmoja uongozi wa wizara hiyo utakwenda eneo hilo kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo.

Ameongeza kuwa CCM haitaridhia kuona wananchi wanateseka ilihali kiliomba ridhaa ya kuwaongoza vyema.
Kwani Kongolo alijua atakuja kua katibu mkuu ccm. 😂

Atulie...
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Comred Daniel Chongolo leo tarehe 2 Juni, 2022 anaendelea na Ziara yake Mkoa wa Simiyu kwa kupokelewa Wilayani Itilima kata ya Nkoma ambapo, amewasisitiza Wizara ya Maliasili na Utalii kushughulikia changomoto ya Tembo kuharibu mazao ya wakulima pamoja na makazi kwa kuweka suluhu ya kudumu.
 
Attachments

  • IMG-20220602-WA0111.jpg
    IMG-20220602-WA0111.jpg
    35.7 KB · Views: 20
  • IMG-20220602-WA0110.jpg
    IMG-20220602-WA0110.jpg
    38.3 KB · Views: 16
  • IMG-20220602-WA0112.jpg
    IMG-20220602-WA0112.jpg
    85.9 KB · Views: 16
  • IMG-20220602-WA0112.jpg
    IMG-20220602-WA0112.jpg
    85.9 KB · Views: 16
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Comred Daniel Chongolo leo tarehe 2 Juni, 2022 anaendelea na Ziara yake Mkoa wa Simiyu kwa kupokelewa Wilayani Itilima kata ya Nkoma ambapo, amewasisitiza Wizara ya Maliasili na Utalii kushughulikia changomoto ya Tembo kuharibu mazao ya wakulima pamoja na makazi kwa kuweka suluhu ya kudumu.
Kwani Makamu Mwenyekiti bado hajaanza mishe zake maana ni yeye peke yake anao ufumbuzi wa tatizo hili.
 
Pole zake. Pindi. Kwanza hana background kitaaluma kwenye wanyamapori. Pili ziko taasisi lukuki na sheria/ regulations/ conventions za ndani na nje zinazomlinda huyo tembo. Changamoto. Pengine Mkenda ndia pekee angefaa hapo ila siasa ni nyingi. Mbona Botswana wanawavuna/crop hao tembo bila tatizo/ kelele? Naibu Waziri amependekezo pilipili kichaa zipandwe mipakani, ngumu kutekeleza kwenye mpaka mrefu/ mzingo / extensive kama wa Serengeti na JKN NPs. Go for animal census? then CROP period.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa Simiyu.

Kauli hiyo ya Chongolo imekuja baada ya miezi mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoiagiza Wizara hiyo kushughulikia changamoto hiyo.

Katika maelezo yake alipokuwa ziarani Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Jumatano Juni Mosi, 2022, Chongolo amesema kuwapo kwa changamoto hiyo hadi sasa ni ishara kwamba Wizara husika imekaidi au kudharau maelekezo ya Rais.

"Hatuwezi kuwa na watu wanaoagizwa na Rais juu ya kuchukua hatua hawafanyi wanakaa ofisini, hii inaleta matatizo kwa wananchi na inaonyesha dharau kwa aliyekuagiza," amesema.

Amewahakikishia wananchi ndani ya mwezi mmoja uongozi wa wizara hiyo utakwenda eneo hilo kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo.

Ameongeza kuwa CCM haitaridhia kuona wananchi wanateseka ilihali kiliomba ridhaa ya kuwaongoza vyema.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa Simiyu.

Kauli hiyo ya Chongolo imekuja baada ya miezi mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoiagiza Wizara hiyo kushughulikia changamoto hiyo.

Katika maelezo yake alipokuwa ziarani Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Jumatano Juni Mosi, 2022, Chongolo amesema kuwapo kwa changamoto hiyo hadi sasa ni ishara kwamba Wizara husika imekaidi au kudharau maelekezo ya Rais.

"Hatuwezi kuwa na watu wanaoagizwa na Rais juu ya kuchukua hatua hawafanyi wanakaa ofisini, hii inaleta matatizo kwa wananchi na inaonyesha dharau kwa aliyekuagiza," amesema.

Amewahakikishia wananchi ndani ya mwezi mmoja uongozi wa wizara hiyo utakwenda eneo hilo kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo.

Ameongeza kuwa CCM haitaridhia kuona wananchi wanateseka ilihali kiliomba ridhaa ya kuwaongoza vyema.
Hapo walengwa wala siyo wananchi, bali inatafutwa sababu ya kuanzisha tena biashara haramu ya meno ya tembo. Tembo wanaachwa kwa makusudi waingie katika maeneo ya watu na ili kelele za kuharibu mazao yao isikike, kisha wajanja waanze vitu vyao kwa kasi mpya, nguvu mpya na Ari mpya.
 
Amuongeze Makamba, Mwigulu, Jafo n.k
Wizara ya Makamba,Mwigulu na Jason wape muda hadi 2025.
Hakuna quick fix,walio pembeni nao wana lao jambo.Wizara haiendeshwi tu na waziri mwanasiasa.Wanatakiwa kuwepo cream wasaidizi wa waziri kwenye wizara husika.
Unless ukisema maofisa wasaidizi wa waziri hawatoshi,labda tatizo ni kubwa mno hadi ujuzi wa wasaidizi nalo ni source ya uzembe,wanatakiwa kufaynyiwa upgrade and update kwenye carrier zao immediately,achana na kazi za kujenga eti makumbusho ya Dodoma its misuse of public money.

Haya yote yanaanzia mbali, yanaitafuna Wizara za Elimu hadi graduates kutoka vyuo vyetu.
Bomu linaanzia huko chini kwenye shule zetu za kata,hadi Veta,Vyuo vyetu.
Mambo ya nishati mkifanya michezo ya kitoto badala ya kutayarisha taifa kujipanga kukabili mabadiliko na matumizi ya aina za nishati tutaibiwa na kudhoofishwa zaidi ya miaka 100.Malaysia aliibiwa miaka 100 na Shell,Norway Esso aka ExxonMobil nae walimtafuna zaidi ya miaka 20 japo alijitutumua kutokea mwanzo.
Hivi hatuoni aibu kutuma energy cadets kuigia kwenye mazungumzo na magwiji++++na wabobezi kwenye nyanja hizo world class katika mikataba ya nishati na hao akina .....,Pull up our stockings!!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa Simiyu.

Kauli hiyo ya Chongolo imekuja baada ya miezi mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoiagiza Wizara hiyo kushughulikia changamoto hiyo.

Katika maelezo yake alipokuwa ziarani Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Jumatano Juni Mosi, 2022, Chongolo amesema kuwapo kwa changamoto hiyo hadi sasa ni ishara kwamba Wizara husika imekaidi au kudharau maelekezo ya Rais.

"Hatuwezi kuwa na watu wanaoagizwa na Rais juu ya kuchukua hatua hawafanyi wanakaa ofisini, hii inaleta matatizo kwa wananchi na inaonyesha dharau kwa aliyekuagiza," amesema.

Amewahakikishia wananchi ndani ya mwezi mmoja uongozi wa wizara hiyo utakwenda eneo hilo kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo.

Ameongeza kuwa CCM haitaridhia kuona wananchi wanateseka ilihali kiliomba ridhaa ya kuwaongoza vyema.
jamani si juzi wamemtoa ndumbaro kuwa hawezi kazi na huyu tena naye anakaidi amri ya mkuu wa nchi.kazi kweli kweli,fukuzeni basi na wa nishati sababu yeye ndo kafeli kwelikweli.
 
Wizara ya Makamba,Mwigulu na Jason wape muda hadi 2025.
Hakuna quick fix,walio pembeni nao wana lao jambo.Wizara haiendeshwi tu na waziri mwanasiasa.Wanatakiwa kuwepo cream wasaidizi wa waziri kwenye wizara husika.
Unless ukisema maofisa wasaidizi wa waziri hawatoshi,labda tatizo ni kubwa mno hadi ujuzi wa wasaidizi nalo ni source ya uzembe,wanatakiwa kufaynyiwa upgrade and update kwenye carrier zao immediately,achana na kazi za kujenga eti makumbusho ya Dodoma its misuse of public money.

Haya yote yanaanzia mbali, yanaitafuna Wizara za Elimu hadi graduates kutoka vyuo vyetu.
Bomu linaanzia huko chini kwenye shule zetu za kata,hadi Veta,Vyuo vyetu.
Mambo ya nishati mkifanya michezo ya kitoto badala ya kutayarisha taifa kujipanga kukabili mabadiliko na matumizi ya aina za nishati tutaibiwa na kudhoofishwa zaidi ya miaka 100.Malaysia aliibiwa miaka 100 na Shell,Norway Esso aka ExxonMobil nae walimtafuna zaidi ya miaka 20 japo alijitutumua kutokea mwanzo.
Hivi hatuoni aibu kutuma energy cadets kuigia kwenye mazungumzo na magwiji++++na wabobezi kwenye nyanja hizo world class katika mikataba ya nishati na hao akina .....,Pull up our stockings!!
Sijakuelewa ni story ndefu lakini sijajua unamaanisha nini?
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa Simiyu.

Kauli hiyo ya Chongolo imekuja baada ya miezi mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoiagiza Wizara hiyo kushughulikia changamoto hiyo.

Katika maelezo yake alipokuwa ziarani Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Jumatano Juni Mosi, 2022, Chongolo amesema kuwapo kwa changamoto hiyo hadi sasa ni ishara kwamba Wizara husika imekaidi au kudharau maelekezo ya Rais.

"Hatuwezi kuwa na watu wanaoagizwa na Rais juu ya kuchukua hatua hawafanyi wanakaa ofisini, hii inaleta matatizo kwa wananchi na inaonyesha dharau kwa aliyekuagiza," amesema.

Amewahakikishia wananchi ndani ya mwezi mmoja uongozi wa wizara hiyo utakwenda eneo hilo kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo.

Ameongeza kuwa CCM haitaridhia kuona wananchi wanateseka ilihali kiliomba ridhaa ya kuwaongoza vyema.
Kabla ya kumtaka yeye ajiudhuru ina maana aliyemteua haoni hayo mapungufu?

Kwa namna nyingine Mh. Chongolo ameona Rais Samia hatambui majukumu yake hivyo anamuomba Waziri amsaidie Rais.

Ni kama wakati wa JK ambapo Kinana aliwataja Mawaziri Mizigo huku bado wakiwa mawaziri na Rais Kikwete hakuchukua hatua yoyote.
 
Asisumbue watu,amwambie M/Mwenyekiti wake anayo solution,ize tu.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa Simiyu.

Kauli hiyo ya Chongolo imekuja baada ya miezi mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoiagiza Wizara hiyo kushughulikia changamoto hiyo.

Katika maelezo yake alipokuwa ziarani Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Jumatano Juni Mosi, 2022, Chongolo amesema kuwapo kwa changamoto hiyo hadi sasa ni ishara kwamba Wizara husika imekaidi au kudharau maelekezo ya Rais.

"Hatuwezi kuwa na watu wanaoagizwa na Rais juu ya kuchukua hatua hawafanyi wanakaa ofisini, hii inaleta matatizo kwa wananchi na inaonyesha dharau kwa aliyekuagiza," amesema.

Amewahakikishia wananchi ndani ya mwezi mmoja uongozi wa wizara hiyo utakwenda eneo hilo kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo.

Ameongeza kuwa CCM haitaridhia kuona wananchi wanateseka ilihali kiliomba ridhaa ya kuwaongoza vyema.
Mmm...hii si ilikanushwa?
 
Back
Top Bottom