Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
CCM huwa wanatuaminisha kwa Ni Chama chenye Democracy pana ,.Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Sasa kwa mtazamo wake Karibu Mkuu CCM hawataki demokrasia ?