Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.

1762255935958.png

1762255967481.png
 
Kazi na Utu ....
 
Maigizo tu wkt akiwa kwny kampeni aliendelea kutambulika km rais na hakuna sehemu alipokabidhi madaraka kwa ajili ya kampeni na uchaguz
 
Maigizo tu wkt akiwa kwny kampeni aliendelea kutambulika km rais na hakuna sehemu alipokabidhi madaraka kwa ajili ya kampeni na uchaguz
Madaraka yalipungua bunge lilipovunjwa
Yakapungua zaidi kampeni zilivyoanza, hakutoka nje ya mipaka tangu aanze kampeni
Madaraka yalitamatika bendera ya rais iliposhushwa

Circle begins again
Bendera inapanda
uchaguzi unaisha kwa wabunge wote kula viapo na kuzinduliwa na Rais
Cabinet inaundwa
Teuzi za visasi
Full powers assumed
 
Tuache siasa kwny ukwl urais alibaki nao ndio maana aliendelea kutembea na wana usalama wa kutosha na mengine yote mbona hakuwa sawa na kina kunje
 
Back
Top Bottom