Wao wanajua kuteka, kuua, kuiba na kuponda mali za umma.watoto wadogo hawa unawapa mamlaka makubwa kupita umri wao..hata hawajafikia kufahamu thamani ya uhai wa mtu
Madaraka yalipungua bunge lilipovunjwaMaigizo tu wkt akiwa kwny kampeni aliendelea kutambulika km rais na hakuna sehemu alipokabidhi madaraka kwa ajili ya kampeni na uchaguz
Tuache siasa kwny ukwl urais alibaki nao ndio maana aliendelea kutembea na wana usalama wa kutosha na mengine yote mbona hakuwa sawa na kina kunjeMadaraka yalipungua bunge lilipovunjwa
Yakapungua zaidi kampeni zilivyoanza, hakutoka nje ya mipaka tangu aanze kampeni
Madaraka yalitamatika bendera ya rais iliposhushwa
Circle begins again
Bendera inapanda
uchaguzi unaisha kwa wabunge wote kula viapo na kuzinduliwa na Rais
Cabinet inaundwa
Teuzi za visasi
Full powers assumed
MTANIKUMBUKA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
Hata kama kazi na Utumwa maisha hayana budi kusonga!Lini alitoka Ikulu? waache maigizo tupo kwenye maombolezo
SawaHata kama kazi na Utumwa maisha hayana budi kusonga!