TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Huo ni uchochezi

Ni ukweli, na ukweli utabaki kuwa ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Wagonjwa, wenye matatizo ya moyo, kisukari na mengine wasaidiwe.

Wanaweza kufanya kazi toka nyumbani.

Wakulima, wenye genge, wamachinga, wafanyabiashara tupambane kama kawaida, Mama ntilie, masoko yabaki huru. Tahadhari muhimu. Tusiue uchumi, maisha yetu.

Balancing stuffs.
 
Tutatoa CV sana mwezi huu! Tusibiashane na sayansi haina dini, matabaka, rangi wala utaifa. Kisayansi binadamu wametokana na kitu kimoja. Tusimjaribu Mungu kwa kudanganya au kusema anatupenda sisi Tanzania pekee tutaisha! Tufuate masharti ya kisayansi, tuchanje watu na tutoe siasa kwenye majanga. Tunadanganya mpaka kwenye vifo
 
Hakuna corona acheni umbea wakuu.

Ikiwepo hiyo haihitaji wasemaji yenywe tu itajisemea
 
sio kwamba kuna watu walikimbilia kupga chanjo kisiri Siri,sasa Mambo Yana enda kombo??? nikijaribu kutafakari na kuunganisha dots,ni Kama Ina sound.

Nitafakari tu wakuu.
Chanjo ya mchina haifanyi kazi kwa south Africa's variant of covid19
 
Sasa inabidi tumsubiri meko aseme...maana hakuna aliye salama
 
Mkuu punguza chuki tunapaswa kuishi kwa upendo. Akuna binadamu anayepanga kifo
 
Aseee shetani anataka kufunga Hattrick mwaka 2021 kirahisirahisi nmn hii
 
Wiki hii hii utasikia kaitisha chanjo
Mungu Wangu huyu baba kafariki. Hakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.

This is more than breaking News.

Usiku wa leo Mh. Magufuli atalia kwa uchungu mno kwa kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Huwenda akabadili maamuzi yake dhidi ya CORONA.
 
Ulikuwa wapi siku zote hizi kuhamasisha mikakati ya kisayansi? Au ulidhani COVID-19 haitaingia Ikulu hivyo ukaona ni bora upige kimya kuhusu mikakati isiyo ya kisayansi ya kujifanya wababe kutembea bila barakoa maana ukivaa barakoa unampinga na kumdharau jiwe na kuonekana wewe mvaaji ni Chadema!? 😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…