TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Hivi Ni kIna Nani hao waliokwenda huko ulaya kufuata chanjo kimya kimya halafu wakatuletea Corona ya ajabu ajabu? Nimeshaanza kuona hao ndio maadui wa Taifa!!
Unamaanisha kwamba hawa wanaokufa kwa sasa walienda kuchanja nje kwa siri?.

Mbona huyu marehemu Jirani yangu amekufa kwa covid 2021,hajui hata pass ya kusafiria ikoje.
Au atakuwa kaambukizwa na walioenda kuchanja kwa siri.
 
Kifo cha Maali ni pigo kubwa sana hasa kwa upande wa upinzani. Maalm alikua mwanasiasi na sio mwana vihoja.

Sidhani kama maridhiano kile smz yatakuwepo kama waliobaki ni sampuli ya bwana kabwe, tuna safari ndefu sana kumpata kiongozi kama Maalim.
 
RIP KIONGOZI
 
Zito naomba usione uZito kunijibu maana swali siyo Zito! Nani amekutangazia kuwa mheshimiwa Kijazi amekufa kwa corona? Tuwekee ushahidi hapa.
 
Anachotafuta Ibilisi ni ukiri wa Rais kuwa Tanzania Kuna corona!! Can you imagine! Walio wa rohoni wanajua kinachotafutwa!! Kinachotafutwa ni kubatilisha uponyaji wetu Kama Taifa dhidi ya Corona!! Hicho Ibilisi hukipati!! Mungu ametuponya na gonjwa la corona full stop! Anayeamini hivyo itakuwa hivyo kwake, asiyeamini hivyo, anaikaribisha corona nyumbani wake! As simple as that!!
 
Mimi mwenyewe nakoa kohoa nina mafua halafu nko kwenye Harusi du
 
Napenda upinzani 100% ila kwa hili mpaka wanaboa sasa asee

hata mm nlikua upinzani 2015 kurudi nyuma, na nna ndugu yangu ni kiongozi mkubwa wa upinzani nchi hii lakini hawa ndo upinzani wetu, bila kusahau maombi ya kuwekea vikwazo nchi yao, na kuna mpuuzi mwingine anasema Mungu wabariki wazungu!
 
Je VIP walio wengi wamepata chanjo ya Korona? Na kama hii ni kweli chanjo imetoa matokeo chanya? Je Korona ipo Tanzania? Na kama ipo ikitangazwa kuwa ipo je itasaidia kuokoa maisha ya watu wengi?
Ndo umeandika makorokoncho gani hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…