TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Kwani Nani asiyejua Tz kuna Cv we chili’s tahazari binafsi
 
Hebu acha kujitoa ufahamu wewe! Umemuona Biden na VP wake wanavaa barakoa katika Serikali hii ni yupi anayevaa barakoa? Sababu za kutovaa ni zipi?
Acha lugha za kuudhi wewe dada!!.....swali! je wavaa barakoa hawapati corona??
 
Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Namba Moja ( Baba ) na Namba Mbili ( Mama ) wako salama kama huyu Mtendaji wao Mkuu wa karibu Kafyekwa ( Kapukutika ) nao.

Binafsi naanza sasa Kujiandaa kwa Habari Mpasuko nyingine mbaya nchini kwani nijuavyo kuna Mmoja Kihistoria tu Afya yake ilishakuwa na Mgogoro kwa kuwa na Kirusi cha Kuishi kwa Matumaini sasa akiingiwa tu na Kirusi cha Wuhan huenda Tanzania tukawa na Siku 15 au 30 za Maombolezo.
Ramli chonganishi
 
What's too late while we are now hit badly by covid-19? Ikiwezekana hata Leo asimame mbele ya kipaza sauti atoe muongozo, maabara ya taifa ianze kutoa takwimu. Mpaka tutengwe na dunia kha?!


Tumtenge yeye kabla hatujatengwa na dunia, hii ni nchi yetu sote.
 
Wakina Lissu na Lema walituchelewesha sana, sasa hivi tuna makondoo tuliyoyakusanya yapitishe saba tena.
Yaongeze Milele na Milele, hakuna wa kuwadhibiti. Iko siku Mungu atatuletea Musa wetu atukomboe. Kilangila.
 
Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
We jamaa umesahau mwaka jana mlizifunga shule?
 
Hii hali sio nzuri kabisa, kama hao wazito wanapukutika hivyo, vipi kwa wenzangu na mimi tusio tambulika magazetini?


Wewe piga nyungu, vaa barakoa, nawa mikono kwa senitizer.

Inahitaji juhudi binafsi zaidi kwani serikali imekuwa Kaput.
 
Back
Top Bottom