Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavu, kwahiyo unachobisha ni kuwa korona haiui tz?Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Acheni mambo ya ajabu! Eboo
Acha lugha za kuudhi wewe dada!!.....swali! je wavaa barakoa hawapati corona??Hebu acha kujitoa ufahamu wewe! Umemuona Biden na VP wake wanavaa barakoa katika Serikali hii ni yupi anayevaa barakoa? Sababu za kutovaa ni zipi?
Yeye huwa akiona corona imepamba moto hukimbilia Chato
Jinga kabisa, nyuki hakumbatiwi.
Ramli chonganishiNitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Namba Moja ( Baba ) na Namba Mbili ( Mama ) wako salama kama huyu Mtendaji wao Mkuu wa karibu Kafyekwa ( Kapukutika ) nao.
Binafsi naanza sasa Kujiandaa kwa Habari Mpasuko nyingine mbaya nchini kwani nijuavyo kuna Mmoja Kihistoria tu Afya yake ilishakuwa na Mgogoro kwa kuwa na Kirusi cha Kuishi kwa Matumaini sasa akiingiwa tu na Kirusi cha Wuhan huenda Tanzania tukawa na Siku 15 au 30 za Maombolezo.
Mbavu zangu tafadhali, kupumua kwenyewe kwa shida. Kilangila.
What's too late while we are now hit badly by covid-19? Ikiwezekana hata Leo asimame mbele ya kipaza sauti atoe muongozo, maabara ya taifa ianze kutoa takwimu. Mpaka tutengwe na dunia kha?!
.... kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Fala wewe!Hatari sana, RIP Kijazi
Lipo wazi na hali yake si nzuri, tumuombee kwa kweli afya yake irejee kama kawaidaMke wa Dr Kijazi amelazwa Muhimbili.
... kuna limoja nimelitukana hapo juu! Angalia hiyo post hapo Mkuu. Majinga kweli haya mashenzi.Hajafa kwa Corona (in Mataga's voice)
Yaongeze Milele na Milele, hakuna wa kuwadhibiti. Iko siku Mungu atatuletea Musa wetu atukomboe. Kilangila.Wakina Lissu na Lema walituchelewesha sana, sasa hivi tuna makondoo tuliyoyakusanya yapitishe saba tena.
We jamaa umesahau mwaka jana mlizifunga shule?Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
Ikitangaza itasaidia sana.Kama kujikinga na korona unasubiri kutangaziwa ja serikali endelea kusubiri sana. Mliobaki tuchukue hatua korona ipo na inaua.
tatizo inakwepa kwepa haipigi penyewe au nasema uongo ndugu zanguuuuuSasa hivi hii kitu inapiga huko juu juu kwanza.
... kwenye hii issue ya Corona tumekosa kabisa leadership! Wengi wanaokufa hawakustahili kufa kama hatua za kawaida sana za kujikinga zingezingatiwa na kutiliwa mkazo toka ngazi za juu.Hakuna Corona
Yule alie kuwa aki tamba hamna corona yuko wapoi leo?Kaingia mjengoni.
umeishasikia kuna mtoto wa shule au mwanachuo kafa kwa corona acha kutumika na mabeberu au nasema uongo ndugu zanguuuuuWe jamaa umesahau mwaka jana mlizifunga shule?
Hii hali sio nzuri kabisa, kama hao wazito wanapukutika hivyo, vipi kwa wenzangu na mimi tusio tambulika magazetini?