TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Uliza kwanza kama yale maelfu ya vifo kule Europe na Asia na U.S. kama walikufa sababu walikua hawavai barakoa
Mawazo ya Mungu sio kama yako Mwanamay

Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sio nyingi, naye hujaa taabu... Pole sana Mwifwa

"Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa"

Chukua tahadhari huku ukiomba Mungu sana
Kanisa lako lipo wapi mama mchungaji ili tuje kupata upako?
 
Kwahiyo kuna watu hadi sasa mnasubiri serikali iseme ndio mchukue tahadhari?
Narudia tena ni wajibu kwa serikali kutangaza rasmi uwepo wa huo ugonjwa, kama sio serikali ina wajibu wa kutangaza, mbona mtu akitangaza uwepo wa huo ugonjwa wanakuja juu?
 
Narudia tena ni wajibu kwa serikali kutangaza rasmi uwepo wa huo ugonjwa, kama sio serikali ina wajibu wa kutangaza, mbona mtu akitangaza uwepo wa huo ugonjwa wanakuja juu?
Suala la afya yako wewe ndio mwenye kuwajibika zaidi kabla ya mtu mwengine yeyote,huku uraiani watu wanakubali kuwa corona ipo pamoja (serikali kukataa kusema hakuna) ila hao watu hawachukui tahadhari,ndio tuseme hao watu wanasubiri hadi serikali iseme?
 
Ndio wanasubiri wenye mamlaka waseme.
 
Tupige nyungu na kuongeza siku za kupeperusha bendera nusu mlingoti,
Nasema uongo ndugu zangu?
 
Ni kawaida hata kipindi kile mwaka jana wakati serikali inahimiza sana watu kunawa mikono kuna watu walikuwa wanabeza kwamba corona haiwezi kuondoka kwa kunawa mikono,ila baadaye hao waliyobeza wakaja kukubali corona ilipungua na Tz wakafanya mikutano ya kampeni kwa kuchangamana bila tahadhari zozote.
Wakiwemo kina Mbowe
 
Jamani kilichopo tutulie na tuchukue tahadhari,Rona is here..ni kwl ilipungua sana hapo nyuma...Mimi kwa akili zangu finyu nahisi ile kufungulia watalii itakuwa imechangia kwa kiasi fulan kurudisha maambukizi duhhh yaan I'm speechless kabisa... Ee Mungu tulikuamini,tulikutegemea ,Bado tunakutegemea,usituaibishe baba. Usiache adui zetu wakatucheka wala kufurahi..tuepushe na hili janga mfalme.
Mbona mnalia lia sana!

Si nimesikia kuna chanjo imekuja? why don't you vaccinate?

Hamtaki chanjo za mabeberu sio?

Mnasuburi kuponywa na muujiza wa mwamposa na tapeli Gwajima?
 
Ndio wanasubiri wenye mamlaka waseme.
Kwa ujinga kama huo ndio hata serikali ikitangaza na kuchukua hatua bado huo ujinga utakwamisha hizo juhudi za serikali na ndio maana kipindi kile kwenye usafiri ilikuwa level seat ila hao watu walikuwa wanaingia kwenye gari ambalo seat zimeshajaa na kwenda kujificha chini wasionekane na traffic.
 
Uliza kwanza kama yale maelfu ya vifo kule Europe na Asia na U.S. kama walikufa sababu walikua hawavai barakoa
Mawazo ya Mungu sio kama yako Mwanamayu
Na maelfu ya vifo vya Umasikini, Uzembe, Malaria, Ukimwi huku Afrika ni mpango wa nani ?

Tupende kutumia logic, data na akili katika kufanya upembuzi yakinifu....

Vulnerable people Europe na US ni wengi (sababu wengi wao wangekuwa Afrika wangeshakufa) survival of the fittest (pia wengi wao ni unhealthy na lishe zao za junk food); pili tunajua idadi yao ya vifo, kama ni vingi au vichache sababu ya kuvitangaza..., pia population density sehemu nyingine husasan Asia ni kubwa sana... Huku ambapo hatuna data ni vigumu kusema vifo vinapoongezeka / pungua

Sasa linapokuja janga ambalo linaua vulnerable people, nadhani unajua ni wapi litaonekana kupiga zaidi....

Sio kila jambo kulielewa linahitaji kufungua Bible au Quran, mengine mbona yapo wazi tu....

Kwenye issue za Afya fuata maelekezo ya Wataalamu wa Afya kwenye issue za kutibu roho na Imani nenda huko popote unakoamini
 
Back
Top Bottom