Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie mnatumia akili kweli?..Media gani mkuu,wakati Tcra wangewala kichwa dakika sifuri kwa kuleta taharukiKweli media zingewaelimisha wananchi namna ya kujikinga.Ila punguza ukali wa maneno!
Kwahiyo kuna watu hadi sasa mnasubiri serikali iseme ndio mchukue tahadhari?Sio ombi, huo ndio wajibu wa serikali.
Uliza kwanza kama yale maelfu ya vifo kule Europe na Asia na U.S. kama walikufa sababu walikua hawavai barakoa
Mawazo ya Mungu sio kama yako Mwanamay
Kanisa lako lipo wapi mama mchungaji ili tuje kupata upako?Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sio nyingi, naye hujaa taabu... Pole sana Mwifwa
"Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa"
Chukua tahadhari huku ukiomba Mungu sana
Ubabe wa wachache ndiyo unatuponzaJamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
Narudia tena ni wajibu kwa serikali kutangaza rasmi uwepo wa huo ugonjwa, kama sio serikali ina wajibu wa kutangaza, mbona mtu akitangaza uwepo wa huo ugonjwa wanakuja juu?Kwahiyo kuna watu hadi sasa mnasubiri serikali iseme ndio mchukue tahadhari?
Ndiyo na kupewa muongozo,ndiyo maana ya kuongoza na viongozi.Hi mambo mingine sielewi bhana...
Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Hebu fafanua kidogo mkuu.Kuna taarifa mpya huko inamhusu mzungu sijui zungu
Suala la afya yako wewe ndio mwenye kuwajibika zaidi kabla ya mtu mwengine yeyote,huku uraiani watu wanakubali kuwa corona ipo pamoja (serikali kukataa kusema hakuna) ila hao watu hawachukui tahadhari,ndio tuseme hao watu wanasubiri hadi serikali iseme?Narudia tena ni wajibu kwa serikali kutangaza rasmi uwepo wa huo ugonjwa, kama sio serikali ina wajibu wa kutangaza, mbona mtu akitangaza uwepo wa huo ugonjwa wanakuja juu?
Suala la afya yako wewe ndio mwenye kuwajibika zaidi kabla ya mtu mwengine yeyote,huku uraiani watu wanakubali kuwa corona ipo pamoja (serikali kukataa kusema hakuna) ila hao watu hawachukui tahadhari,ndio tuseme hao watu wanasubiri hadi serikali iseme?
Wakiwemo kina MboweNi kawaida hata kipindi kile mwaka jana wakati serikali inahimiza sana watu kunawa mikono kuna watu walikuwa wanabeza kwamba corona haiwezi kuondoka kwa kunawa mikono,ila baadaye hao waliyobeza wakaja kukubali corona ilipungua na Tz wakafanya mikutano ya kampeni kwa kuchangamana bila tahadhari zozote.
Mbona mnalia lia sana!Jamani kilichopo tutulie na tuchukue tahadhari,Rona is here..ni kwl ilipungua sana hapo nyuma...Mimi kwa akili zangu finyu nahisi ile kufungulia watalii itakuwa imechangia kwa kiasi fulan kurudisha maambukizi duhhh yaan I'm speechless kabisa... Ee Mungu tulikuamini,tulikutegemea ,Bado tunakutegemea,usituaibishe baba. Usiache adui zetu wakatucheka wala kufurahi..tuepushe na hili janga mfalme.
Kanisa lako lipo wapi mama mchungaji ili tuje kupata upako?
Kwa ujinga kama huo ndio hata serikali ikitangaza na kuchukua hatua bado huo ujinga utakwamisha hizo juhudi za serikali na ndio maana kipindi kile kwenye usafiri ilikuwa level seat ila hao watu walikuwa wanaingia kwenye gari ambalo seat zimeshajaa na kwenda kujificha chini wasionekane na traffic.Ndio wanasubiri wenye mamlaka waseme.
UPO MWENYEWEEEE?????? JIFARIJI TUMmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
Na maelfu ya vifo vya Umasikini, Uzembe, Malaria, Ukimwi huku Afrika ni mpango wa nani ?Uliza kwanza kama yale maelfu ya vifo kule Europe na Asia na U.S. kama walikufa sababu walikua hawavai barakoa
Mawazo ya Mungu sio kama yako Mwanamayu