TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Haka ka changamoto ka upumuaji katatumaliza hasa sisi wazee aisee, kanatupenda mno... RIP COMRED.

Kifo hiki sijui kwa nini kimenifanya nisikitike mno!!
 
Wamekufa wangapi? Embu acheni kukuza vitu nyie Chadema. Hivi hamna aibu?

Dada kukuhusu wewe litakuwa jambo moja kati ya mawili haya kukuhusu. Labda:

1. Wewe ni jasiri kweri kweri

au,

2. Wewe ni MPUMBAVU kweri kweri.

Ni moja tu kati ya hayo dada.

Hongera sana!
 
Afu sijui kwa nini Corona haina shabaha!! Inazunguka zunguka tu hatuielewi!!
 
Through uprising, the whole country.
Alihamasisha Mange kipindi kile watu wakakaa kimya, juzi mchungaji Mwakulata (Kama sijakosea jina) aliitsha maandamano ya amani kudai Katiba mpya no body showed up to support him. Hiyo uprising ya nchi nzima Nani ataiorganise na nani atajitokeza?
Sisi watanzania, tuko vizuri kuongea na kuelezea waliyofanya wenzetu lakini sisi Kama sisi vitendo sifuri. Hata bunge lenyewe tu kumuimpeach rais halina uwezo huo ingawa ni sehemu ya haki yao, wataweza wananchi?!
 
Mod wanafyekelea mbali baadhi ya nyuzi ...Kuna uzi was
Dk Mpango ...umetolewa fasta...hebu tutulie jamani🤔
 
Verse 1]
Life is easy, when you're up on the mountain
And you've got peace of mind, like you've never known
But when things change and you're down in the valley
Don't lose faith, for you're never alone

[Chorus]
And the God on the mountain is still God in the valley
When things go wrong, He'll make them right
And the God of the good times is still God in the bad times
The God of the day is still God in the night

[Verse 2]
We talk of faith when we're up on the mountain
But talk comes so easy when life's at its best
But in the valley of trials and temptations
That's when faith is really put to the test

[Chorus]
And the God on the mountain is still God in the valley
When things go wrong, He'll make them right
And the God of the good times is still God in the bad times
The God of the day is still God in the night
The God of the day, is still God in the night
 
Dada kukuhusu wewe litakuwa jambo moja kati ya mawili haya kukuhusu. Labda:

1. Wewe ni jasiri kweri kweri

au,

2. Wewe ni MPUMBAVU kweri kweri.

Ni moja tu kati ya hayo dada.

Hongera sana!
Kweri kweri= kweli kweli

Huko shule ulienda kusomea utopolo?
 
Ila kabla yake wewe utamtangulia.

Niamini mimi!!!

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yeye ametaka kujua zamu ya nani. Mimi ninachojua kila nafsi itaonja mauti, lakini siyo jukumu langu kuanza kupeleleza nani atakufa leo. Hiyo inakuwa uchawi.
 
Nyepesi Nyepesi ni kwamba RSO wa Simiyu na DSO wa Geita wamefariki kwa CORONA poleni sana wana Usalama.
 
so do you have any means.lete Hapa tuone.mkiambiwa still bado hakuna chanjo yenye ufanisi vichwa vigumu Kama nazi.wazungu wenyewe bado inawaumiza kichwa na bado wako kwenye trial &error ,ndio maana malalamiko ya hiz chanjo ni mengi.sasa si bora kuchukua tahadhari mbadala kuliko kulalama humu ujinga!!?? kweli kukosa maarifa ni hasara kubwa.
Sawa...endelea na nyungu yako Mkuu.
 
Nani kakuambia ni Corona? Hakuna Jambo hilo kwenye taarifa tuliyopewa.

Inaelekea ungependa sababu ya kifo iwe Corona! Nasema hivyo kwa sababu unakimbilia huko japo hujapewa taarifa hiyo!

Kusema ukweli hata kama mtu alikuwa na virusi vya Corona, akifa haina maana kuwa ameuliwa na ugonjwa wa Corona! Anaweza kufa kwa malaria japo ana Corona, anaweza kufa kwa typhod japo ana Corona, na anaweza kufa kwa ugonjwa mwingine wowote. Ni madaftari tu ndio wanaweza kusema ni ugonjwa upi uliopelekea kifo chake.
Hivi Corona Ni ugonjwa wa aibu au?!!! Unazungukazunguka Nini Mkuu?!! Why all this?!!!
 
Hi mambo mingine sielewi bhana...

Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Sasa ona maswali ya kijinga ...aki wa tz....lazima serikali itangaze na support ya serikali ianze kufanya kazi immediately
 
Back
Top Bottom