TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

John William Herbert Kijazi may your soul rest in peace
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni hivyo inatakiwa viongozi wote tangu Marekani, Ulaya, Asia na kwineko wawekwe jela
 
Natamani Sana huyu jiwe awajibishwe. Lkn katiba yetu na mifumo ya sheria za kimataifa inawalinda sana Marais.

Ndiyo maana ktk uchaguzi mkuu wa 2020 jiwe alivuruga uchaguzi kwa kuiba kupora kura kwenye mabegi meusi nchi nzima. Hata Zitto mwenyewe aliibiwa, lkn imeshindikana kumwajibisha.

Kwahiyo hapa Zitto anatuchosha tu.
 
Hivi Corona Ni ugonjwa wa aibu au?!!! Unazungukazunguka Nini Mkuu?!! Why all this?!!!
Corona siyo ugonjwa wa aibu lakini taarifa rasmi tuliyopewa haijasema marehemu amekufa kwa corona. Kama wewe una taarifa hiyo tuwekee ushahidi hapa. Sasa inaelekea kila anayefariki inadaiwa ni corona kana kwamba corona ndio sababu pekee ya vifo!! Sijui kwa nini watu wanaishabikia corona hivi!
 
Mmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
Mambosasa badala kwenye kupambana na maabara ya Taifa ambao wanatupima COVID kwa $100 kutoka $12 anasumbua Agha Khan !!

Wamepandisha kipimo kutoka Tzs 40,000 Mpaka Tzs 240,000 kwa vigezo vipi ? Wagonjwa wa Covid anataka Agha Khan wacheze now ili isambae sio? Tumewajua waovu nyie
 
Zito aache utapeli, kuna ushahidi kibao wa watu kuuwawa ili ccm wake madarakani hasa huko Zanzibar, ni hatua ipi alichukua zaidi ya wao kwenda kuungana na wauaji kwa ghiliba ya kuliponya taifa?
Zitto anyamaze , siku aliyoungana na Dicteta kumsingi alikubali fikra na mawazo na maamuzi yake, asitafute Kiki Kwa pikipiki
 
Back
Top Bottom