Katibu Mkuu NATO, Jens Stoltenberg: Kuchoma Quran sio kosa

Ipo hivi, Hata quran ikichomwa moto duniani kote ikapotea
Watachukuliwa watoto atleast watano tu, tena wenye umri wa chini ya miaka kumi, wataindika quran yote tena within 24 hours

Quran ipo vifuani mwa watu, msijisumbue kuchoma, hamumkomeshi mtu
Angalau baadhi mmeanza kutoka maporini na vichakani na kuanza kuona kwamba kuchoma isiwe issue kwani ni swala kuandika nyingine tu.
Inabidi uwasaidie wenzako kuelewa hilo.
 
Katoka iraq halafu achome hicho kitabu? Mbona iraq ni nchi ya waamini hicho kitabu?
Iraq ina wakristo wengi tu kama ilivyo palestina, tatizo wengi wenu mnafuata mkumbo tu kila mkiona muarabu mnajua muislamu, na huwezi kuamini wakristo wengi wanajua waisrael ni wakristo kumbe la hasha
 


Ni kweli sio kosa, ila sio busara kusema hayo in Public, kuna namna watalipia gharama ya maneno yao.
 
Hivi hawa watu wa Imani sijui wamekuaje; Kwanini kwa Wakristu wasifuate msemo wa ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine; na hawa Islams kwanini tu wasimsomee mtu Albadiri au kumuachia Muumba ajipambanie ?

Kwani lazima mtake mahakama zijae watu walishwe kwa kodi za wananchi ?
 
View attachment 2674568
wanazidi kuingia uislamu kwa wingi huyu pastor kaingia uislamu na waumini wake woote 100000na juzi kaenda kuhiji wanazidi kuja tu mpaka kijulikane ni dini gani ya kweli
Hivi kama una akili hata kidogo unaweza amini Uislam ni dini ya kweli watu ambao wanaamini kuna majini wazuri na wabaya! Pia kuna Muislam ambaye siyo mshirikina [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ipo hivi, Hata quran ikichomwa moto duniani kote ikapotea
Watachukuliwa watoto atleast watano tu, tena wenye umri wa chini ya miaka kumi, wataindika quran yote tena within 24 hours

Quran ipo vifuani mwa watu, msijisumbue kuchoma, hamumkomeshi mtu
Tusijisumbue wakati kachoma mwarabu mwenzenu.
 
Sio kila kitu kilicho sahihi au batili lazima kiandikwe kwenye vitabu vya sheria vingine lazima tu busara ziwaongoze watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…