Mantiki yoyote ile, haibatilishi chochote juu ya usahihi wa Uislamu, wala kuhalalisha chochote juu ya uislamu.
Uislamu unabaki kuwa Uislamu haijalishi ni mantiki gani imetumika kuchoma Quran.
SHIDA NINI? Wengi wako na over reaction kiasi cha kutafakarisha mara nyinginyingi utimamu wa kichwani.
Badilikeni, mnatusumbua sana kiasi cha kufanya mchukiwe. Biblia zinachomwa, vinyamkera vinachomwa, irizi zinachomwa, makanisa yanachomwa, sawa na Quran na Misikiti, KWANINI NI NINYI TU NDIO IWATOE UTU, wakati uislamu wako hauko kwenye cement ya Dangote iliyojenga msikiti, au miti iliyooteshwa Iringa kutengeneza karatasi za kitabu chenu?
Badilikeni.