Katibu Mkuu NATO, Jens Stoltenberg: Kuchoma Quran sio kosa

Bro naona unabwabwaja sana. Lets make long story short. Kosa la kuchoma kitabu cha dini lipo? Na hukumu yake ni nini? Naomba jibu.
Muulize huyo mtumishi!Alifutwa kazi,je alikata rufaa?Hatima yake ikoje mpaka leo?
Nadhani nimekujibu,kwa msaada zaidi,nimekuwekea hotuba ya mkapa,nenda kasome kwa utulivu!
Pengine usingeuliza maswali haya!
 
Sasa nimuulize wakati wewe ndio unatetea hoja hapa. Mimi najadiri na wewe au na huyo aliefukuzwa kazi?

Any way tukirudi kwenye hoja Sec wa NATO alikuwa anatoa majibu kwa muktadha wa sheria zao hawakumkuta na kosa shida iko wapi?
 
Shida ni kuwa mnaushabikia huo upuuzi ambao sisi kama watanzania tumeukataa!
Unapata faida gani kushabikia huo ujinga?
Hivi wewe kama mtanzania,hujui misingi ambayo nchi yetu imejengwa nayo?Its a shame!
 
"Sisi watanzania" unamuwakilisha mtanzania yupi na yupi mpaka unatumia "sisi"

Hakuna anaetetea vurugu ndiomana ninasema hakukuwa na haja ya hao wapuuzi walioandamana. Kwani wangekaa kimya ingekuwa mwisho wa kuabudu?

Mwenye kitabu kaamua kuchana unaachana nae unaendelea na mambo mengine as long as hajazuia kwa namna yoyote ile nyie kuabudu.
 
Waislamu msiingie mtego huo wa freemason hio ni planned ajenda wanajua mtalipuka ili ajenda Yao itimie
 
Wamechoma kopi ya Quran na Sio kuifuta Quran shida ipo wapi msiingie mitego ya wajinga
 
View attachment 2674568
wanazidi kuingia uislamu kwa wingi huyu pastor kaingia uislamu na waumini wake woote 100000na juzi kaenda kuhiji wanazidi kuja tu mpaka kijulikane ni dini gani ya kweli
Hapo ndio sijaelewa. Inasemekana njia ya kuingia mbinguni ni nyembamba na wataingia wachache bali ile ya jehanamu ni Pana na wengi watapotelea huko.
Kama usemayo ni kweli, huoni ishara hiyo ya wengi kusilimu na kwenda huko ni kwa vile njia hiyo ndiyo pana?
 
Reactions: rr4
Waslamu bana..... Mbona bible hata ikitawazia hamna munkari kwa wakristo.....
 
Ipo hivi, Hata quran ikichomwa moto duniani kote ikapotea
Watachukuliwa watoto atleast watano tu, tena wenye umri wa chini ya miaka kumi, wataindika quran yote tena within 24 hours

Quran ipo vifuani mwa watu, msijisumbue kuchoma, hamumkomeshi mtu
Aliyechoma katokea kwenye Uislam, labda aliona inafundisha ujinga akaamua kuitia moto.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Huyo NATO sasa wewe nenda kaseme jews au tukana Hallocust kuwa ni fake utajuta kuzaliwa hakuna cha free expression wala nini au siku hizi katukane wale chama cha mashoga usikie habari yake, shida ya nchi hizi free expression katika mambo wanayotaka lakini ya Mashoga na jews usiwaseme utaitwa mbaguzi na kutengwa yalimpata Kanye West.
 
Wanaochana ni nduguz zenu , quran hizo zimesababisha maisha ya waarabu wengine hasa walio wa iman moja na nanyi wameteseka sana sio somalia , syria , iraq hata Mali , kitab hicho kinawatak waislam wengine kuchukua uhai wa waislam wengine
Kitabu cha kipuuzi sana. Kimejenga chuki kwa jamii. Bora niwe mpagani kuliko kuwa mwislamu. Yanaamini yakifa yatapewa mabikra 72 Mbiguni..ujuha huu
 
Kitabu cha kipuuzi sana. Kimejenga chuki kwa jamii. Bora niwe mpagani kuliko kuwa mwislamu. Yanaamini yakifa yatapewa mabikra 72 Mbiguni..ujuha huu
Jina lingine kinaitwa SATAN VERSE
 
He is right on his part.
 
Ipo hivi, Hata quran ikichomwa moto duniani kote ikapotea
Watachukuliwa watoto atleast watano tu, tena wenye umri wa chini ya miaka kumi, wataindika quran yote tena within 24 hours

Quran ipo vifuani mwa watu, msijisumbue kuchoma, hamumkomeshi mtu
Hivi ndivyo mlivyopaswa kuishi. Sasa wanashangaza ndugu zenu wengine wanapopanic kiasi cha kuua MTU, kwa kuwa tu makaratasi yaliyoandikwa maneno mnayodai ni ya mungu yamechanwa au kuchomwa!

Aliyerudufu kitabu ni mchina kwenye kiwanda chake, anayenunua ni mchaga baada ya kumpiga hela mjomba wake, baada ya muda anaamua kuchoma kitabu chake sawa na nguo chakavu, SHIDA NINI?
 
Wa

Pro NATO Wapo? Na huo ndo msimamo wao dini zote zitoweke shetani ashike usukani, utasikia ushoga sio kosa ni uhuru wa mtu.
kwa hapa tanzania, ukiambiwa useme mtu akichomna icho kitabu atakuwa amefanya kosa la jinai, tutajie kifungu ili watu waelewe. unawezakuta hata hapa sio kosa, ila haipendezi kwasababu utaumiza hisia za watu. kwani kwa tz ni kosa? kosa gani? kifungu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…