na huko US jews ndio wame tapakaa na wana pesa
Kama hela ndio kipimo Jews wote combined hata robo ya hela za waarabu hawafikii.na huko US jews ndio wame tapakaa na wana pesa
Suala zuri ni kumwezesha hasimu wake wa mipakani, Hizbullah!
Misri ameshawekwa mfukoni tangu mapinduzi ya Muhammad Morsi.Na ndipo tunapo kwenda na uzuri huko Iran anacho takiwa ni kuleta siraha na instructor tu. Au kuwapeleka watu kutrain kisha wanarudi full mkazuzu.
Nawaza hivi nchi kama misri ikijoin na Iran na turkey mbona watatafutiwa pakuhamia hapo northern Uganda.
Ilikuwa ni furaha kuu kote kwa wenye kuonewa:
View attachment 3113126
Syria, Jordan, Gaza, West Bank, hadi Lebanon huko.
Anawategemea mabwana zake wa USA na UK waje kumsaidia.Kwa kipigo cha jana Israel amefahamu yupo uchi kwa Iran na hana ubavu naye wa jino kwa jino.
Maamuzi yoyote ya kijinga yatamuathiri zaidi.
Hayo madude yanafanya kazi kiustadi kwenye nyanja mbili.Ila nyie hivi inamaana Ile safu ya air defence ya.
Iron dome
Arrow
David sling
Thaad na wengineo wamevukwa wote. Ila ndio maana ayatollah haangaiki na madege yeye ni makombora tu mpaka uyambe mpepo
Hahaha!Anawategemea mabwana zake wa USA na UK waje kumsaidia.
Aibu sana wanaume wazima kulilia misaada kila uchao.
Iran ndio kidume sasa hategemei msaada wenu
Mental case.Hahaha!
Israel hawana aibu! Wanasimama UN na kujigamba wao ni vidume.
Benjamin Netanyahu! Typical Zombie character! No other way to describe it.
Mental case.Safi sana hata mimi hapa JF nina celebrate. Isra hell is doomed
Mental case.Ilikuwa ni furaha kuu kote kwa wenye kuonewa:
View attachment 3113126
Syria, Jordan, Gaza, West Bank, hadi Lebanon huko.
Wewe na Benjamin Netanyahu au?Mental case.