Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

Pesa azinunui uhai ukishapotezwa kwa risasi aman ndio msingi lkn wao Israel wanaamini watashinda na adui ataomba poo. Katibu w UN kakataa kuwa mnafki ndio kosa lake ichi ipo ktk vita miaka 50 nani anataka kwenda ata w JF wamepewa offers lkn wamenyut wanadai watawapigania umu ktk JF😆😆😆😆 risasi baba hoooo
 
hagehwabnwjjahskagapfidysbzgshag
 
[emoji35]
20241002_160645.jpeg
 
Sasa kosa la Gutteres ni nini [emoji2957]ngoja tuendelee kuchoma [emoji535][emoji535][emoji535]
 
Hakuna mtu mwenye akili timaru atakwenda Israel, kufanya nini sasa.

Hata raia wao wenyewe Israel zaidi ya milioni 2 wameondoka. Sasa kama wenye nchi yao tu wanakimbia huyo Guteres akafanye nini?

By the way tunamkaribisha katibu mkuu wa UN aje kupumzika Tanzania. Ni mtu mzuri ambaye anapenda haki, Israel hawataki wanaofuata haki.
 
Na ndipo tunapo kwenda na uzuri huko Iran anacho takiwa ni kuleta siraha na instructor tu. Au kuwapeleka watu kutrain kisha wanarudi full mkazuzu.



Nawaza hivi nchi kama misri ikijoin na Iran na turkey mbona watatafutiwa pakuhamia hapo northern Uganda.
Misri ameshawekwa mfukoni tangu mapinduzi ya Muhammad Morsi.

Huyu kwa mara ya kwanza alifungu mipaka iliyofungwa muda mrefu na Palestina.

Amerika ikaona itawahami wapalestina na kuwasaidia kisilaha Israel itakuwa na wakati mgumu. Mbaya zaidi kaskazini mwa Israel yupo Hizbullah hii itakuwa ni shida.

Akafanya mapinduzi wakamweka Fattah Al Sis.

Iran ikiiwezesha Hizbullah kama Russia ilivyo iwezesha Wagner kisilaha za kisasa Israel itakuwa na wakati mgumu. Assume anapewa ADS ya uhakika Israel ataleta wapi fujo za ndege zake.
 
Kwa kipigo cha jana Israel amefahamu yupo uchi kwa Iran na hana ubavu naye wa jino kwa jino.

Maamuzi yoyote ya kijinga yatamuathiri zaidi.
Anawategemea mabwana zake wa USA na UK waje kumsaidia.

Aibu sana wanaume wazima kulilia misaada kila uchao.

Iran ndio kidume sasa hategemei msaada wenu
 
Ila nyie hivi inamaana Ile safu ya air defence ya.

Iron dome
Arrow
David sling
Thaad na wengineo wamevukwa wote. Ila ndio maana ayatollah haangaiki na madege yeye ni makombora tu mpaka uyambe mpepo
Hayo madude yanafanya kazi kiustadi kwenye nyanja mbili.
1) Ni kwa ajili ya rocket za Hamas.
2)Kwenye sekta ya propaganda.
 
Anawategemea mabwana zake wa USA na UK waje kumsaidia.

Aibu sana wanaume wazima kulilia misaada kila uchao.

Iran ndio kidume sasa hategemei msaada wenu
Hahaha!

Israel hawana aibu! Wanasimama UN na kujigamba wao ni vidume.

Benjamin Netanyahu! Typical Zombie character! No other way to describe it.
 
Huu mpambano wa wayahudi wa buza na wapershi wa lingusenguse ni mtamu kweli.

Leo naona ni zamu ya Wairan wa Tanzania kufurahi,kesho kutwa itakuwa zamu ya Wayahudi + Wakristo wa Tanzania.

Dini ni bangi.
 
Hebrew media reveal details of deadly ambush in southern Lebanon:

Hezbollah fighters set up an ambush and lured the occupation soldiers into a building on the outskirts of a village in the eastern sector of southern Lebanon, coinciding with heavy fog.

At 4:00 a.m., a force from the Egoz unit entered the building, and the Radwan fighters engaged them from point-blank range. Then, dozens of Radwan fighters began to surround the building from all directions, firing gunfire, anti-tank shells, and mortar shells at the forces that arrived to evacuate the wounded soldiers.

- Some soldiers from Unit 669, which is responsible for evacuating soldiers via helicopters, were injured during the evacuation operations.

This ambush alone resulted in the killing of 6 soldiers and the wounding of 30 others.
 
Back
Top Bottom