Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

D.G ni kifupi Cha Daniel Geofrey
Leta maandiko yanayosema hivyo, inakatazwa kuwa Daud George. Unapoandika barua ya kuacha au kufukuzwa kazi ni lazima liandikwe jina lako kamili lililoandikwa wakati wa kuajiriwa na si vinginevyo.
 
Nimefurahi Sana kuachia mtumbwi na kujitosa Baharini mwenyewe tupandishe mtu mwingine mwenye uhitaji wa kupanda mtumbwini huyo alishavuna vyakutosha ndio maana kajitekenya Mwenyewe.
NYANI BISHOO Narudi zangu Msituni

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa akishapewa cheo Huwa ni kuwasagia wenzake kunguni ili yeye atambe.Katika hali kawaida ni ngumu Kufanya nae kazi maana hujiweka juuu zaidi na kazi ya kufitinisha ni nyepesi kwake.
 
Kaa mbali na madem kwenye kazi ambayo unajua fika kuna maadui wako
Ila sijui mtu unakuwaje mpaka unatuma daa
 
🇹🇿 Kwanza hiyo sio handwriting ya mwanadiplomasia na mwanasiasa nguli kama yeye, hiyo imetengenezwa mitaani tuu

🇹🇿Pili, ni mtu mtulivu mwenye kiwango Cha juu Cha Emotion intelligence hawezi kufanya hivyo

🇹🇿Tatu hawezi kuharibu carrier yake ya Kisiasa kwa kuchukua uamuzi wa namna hiyo. Kwenye siasa Bora kutumbuliwa unaweza kupata nafasi nyingine kuliko kujitumbua

🇹🇿 Chama kina watu makini,wakiwemo wazee wabobezi wa siasa na busara, kama wamepata Taarifa lazima wangemuita na kusuluisha chini CHINI. Hii barua ni ya mchongo Kamwe haiwezekani
 
Aondoke tu hakuwa competent.Tunamtaka Bashiru arudi kuwa Katibu Mkuu wa Chama,"Wahuni" ndio waliomdanganya Samia kumuondoa.Bashiru anapenda nchi yake kwa dhati,ni competent,ana weledi tunao-uhitaji na yupo morally sound.
 
Mkuu kama kaisha andika barua ya kujiuzulu inakuaje tetesi tena?

Anyway,itakuwa busara kama utatuletea huo uchafu aliotuhumiwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…