Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Kama nimekuelewa Kwa mbaaaliBado movie inaendelea hawa wote sio target kuna mtu anatafutwa haswa.
Target bado haijafikiwa hizi zote zinapigwa " deflection " tu ni kama mawimbi ya bahari kabla ya bahari kuchafuka rasmi.
unajasikiaje muda huu wewe popoma?Source mfanyakazi wa online media😂😂😂😂
Kweli hii nchi mbumbumbu was amejaa.
Hawezi Enda Chadema na kama Chadema watampokea basi TZ hakuna Democracy bali ni chama kimojaNyepesi ni kuwa kuna maandalizi ya kumpokea Chadema.
Ulikuwa wapi kusema zamani?Sishangai, chongolo kwa Ukatibu mkuu alikuwa chongo kweli. Alipwaya sana.
Au kama zitto kabwe au utauwawa kama chacha wangwe. Au kupigwa biti kama sumaye kwa kuambiwa sumu haijaribiwi kwa kuionja.Huwezi kuondoka ccm kwa amani , ama utadhalilishwa au utalishwa sumu kama Mangula
Ila jua nyumba ya jirani ikiungua,shiriki japo kutupia mchanga usionekane umeitia kiberiti weye🤣Watajuana wenyewe
Mbowe hawezi kugawa posho za covid 19.Nyepesi ni kuwa kuna maandalizi ya kumpokea Chadema.
hata asingepata kashfa angetoka tu ni vigumu kwa WATOTO kuelewa
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.
Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama (NEC), ambavyo vinafanya vikao vyake vya kawaida jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2023, huenda vikampitisha Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye atachukua nafasi ya Chongolo.
Sababu za kujizulu kwa Chongolo tutawaletea baadae.
=====
UPDATES: 28 NOV 2023
======
JamiiForums imejihakikishia kuwa ni barua aliyoandika mwenyewe ila taarifa za kuwa amepata ajali si za kweli bali gari lake lilihusika na ajali mapema Machi/Aprili.
Toka dhalimu magu amezipotezea siasa mvuto, ni watu wengi wezikinai siasa.Sijui ni sifuatilii siasa siku hizi au nimezichoka, sielewi!
Labda hunisomi tu, niliyasema hayo muda mrefu sana.Ulikuwa wapi kusema zamani?
Daaah Samia kadri Anavyokaa CCM ndo anajua ukweli! N bado kesho ndo tutajua Katibu Mkuu ni nani!Ukiona Giza nene
Ujue karibu kunapambazuka
Wahi kula daku
Mfungo ufuatao usije kukupita
Tatizo uwezo wako wa Kutafakari mdogo!Toka dhalimu magu amezipotezea siasa mvuto, ni watu wengi wezikinai siasa.
AWangejua..hui nao ni mchezo wanatuchezea anarudi zake eagle ....asubiri RC apumzike......hamjui huyo walimuazima ? Aahhh mjomba wa Tz wajinga wengi acha nikapumzike
Sijaelewa mkuu 2014 na 2015? Au hichi kijiti kinachofuka Moshi kinanipeleka puta?Huu mwaka ulikuwa ni wa fitina za kufa mtu na kusagiana kunguni kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi 2014 na 2015