Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Hahahahah maji na mafuta vinaanza kujitenga
 
Uko CCM ni nani mwenye maadili anaweza simama kumsema mwenzie kuwa hafai kabisa kuwa CCM au kuwa kiongozi kabisa! Nani msafi ndani ya CCM?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…