Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

CCM ni jumba lililojaa viongozi, akishuka ntu anapanda ntu,CCM haitegemei mtu mmoja,pumuzika salama comredi Chongolo
 
Makundi yameibuka, civil war kwa kimatumbi vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama dola kongwe.

CCM kama Sudan, kuliko na majenerali wenye makundi yao wawili yanayopingana kuchukua uongozi.


Majenerali hasimu wa Sudan Mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan na makamu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo, anaeongoza Kikosi cha wanamgambo (RSF).
 
Chongolo hapa huchomoki we na mademu badala uimarishe chama chako

[emoji1593]Huyu demu umempa Mpaka mali kadhaa kwa kutumia kofia ya CCM ukasahau ni mtu wa mtu! Hapa unajaribu kukimbia fumanizi unapata ajali na Mali ya Umma

[emoji1593]Lakin Jua Vita ya Panzi furaha ya Kunguru ndani ya CCM

Kambi za January Makamba na Mwigulu Nchemba zaungana kumshughulikia Daniel Chongolo

[emoji1593]TISS na CCM watoa Siri za ndani za Chongolo ili kummaliza kupitia UVCCM

Mwenyewe kaapa kupambana asitolewe NEC hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…