Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apambane na hali yake kwa maana nyingineAjiuzulu, asijiuzulu; atajua mwenyewe.
Mapigano na minyukano ndani ya CCM yanaendelea. Ukizoea kuchafua wapinzani wako, mwisho wa siku mtaanza kuchafuana ndani ya chama. Huu ni mfano mzuri.
Toka maktaba
Aliyekuwa RC Dar es Salaam, Paul Makonda alivyomfokea aliyekuwa DC Kinondoni Daniel Chongolo
View: https://m.youtube.com/watch?v=y1xk_zBiz3k
Iwe ni kweli au si kweli lakini ""Lisemwalo lipo kama halipo laja ""Uandishi huo sio wa mtu anayejiuzulu... fake news
Sijakuzoea hv, weka nyama plz!!!Wasikubabaishe bana.
Mara umepiga kabinti
Mara umengusha Vx na kuharibu barabara.
Muulize mamako ndo anajua ukichaa wa mnyikaMnyika yu wap siku hizi?
Amepona ukichaa?