Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu


Mzee aliyebaki komredi Abdulrahman Kinana naye hana uwezo wa kutuliza makundi



Hii vita ya panzi, itabomoa chama kongwe kipindi hiki ambapo hakuna wazee wa chama kina Joseph Warioba, Mizengo Pinda, Ali Hassan Mwinyi, Philip Mangula, Jakaya Kikwete n.k wote hawa wazee wanatamani katiba mpya hivyo wazee hawa hawana sauti ya kukemea na kusawazisha chama cha CCM new generation kukubali mabadiliko waruhusu katiba mpya , hali sasa chamani ni kama The Castellammarese War ya Mafia group vijana wamechoka wameamua wanachukua madaraka baada ya kuambiwa wasubiri kesho isiyofika wameamua hapa hapa mtaa wa Lumumba katika jiji letu la Dar es Salaam wafanye Mapinduzi baridi na siyo Dodoma
 

Kwani msemaji angali kutua akapata fursa adhimu ya kulitolea kauli?

 
Naona ngosha leo umekuwa positive sana kwenye hii habari.
Vipi unategemea okoto lolote?
 
Itakuwa fake tu. Akijiuzulu atakwenda wapi na umri huo. Kama aliweza kuvumilia dharau zaBashite enzo hizo kipi atashindwa leo. Unless wamemlazimisha ajiuzulu.

Itakuwa ni Team Bashite hiyo wanamuundia zengwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…