Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #61
Naona misukule ya mbogambogani imekurupuka yote kwa wakati mmoja.
Yaelekea posho ya leo mmelipwa bila taabu, mmeongezewa posho au mmepandishwa madaraja!!
Sent using Jamii Forums mobile ap
Asubuhi papa 1. Rejea bandiko lina maelezo yoteSaa ngapi? Asubuhi au jioni?
Hivi maneno yote hayo unamaanisha mabalozi wanapiga kura au alafu hao unaojigambanao hapa ndio hao beberu muwemakini wasije kuwananiliii..Halafu tutawaambia ambia na ndugu zenu huko nyumbani kuwa hapa kila kitu kipo mahali pake. CCM ina magwiji wa siasa. Tulikuwa tunamuangalia tuu Mr. Much Know akijiona kamaliza kumbe tunamuandalia roba ya mbao vile comrade Bashiru anaongea polepole kila neno litapenya kwenye ngome za masikio ya mabalozi
Sisi CCM ni chama kubwa, CCM ni chama kinachojali maslahi ya taifa letu. Kama chama, tunaamini uongo ukiongewa sana kuihusu serikali inayoongozwa na chama chetu, basi chama kinawajibu wa kusema ukweli ili wanaofikishiwa taarifa wachuje.Hivi maneno yote hayo unamaanisha mabalozi wanapiga kura au alafu hao unaojigambanao hapa ndio hao beberu muwemakini wasije kuwananiliii..
Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.Eti anatania hata kutoleta maendeleo kwa wale ambao hatachagua chama chake ana nogesha mkutano wewe nyambaf
Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.Eti anatania hata kutoleta maendeleo kwa wale ambao hatachagua chama chake ana nogesha mkutano wewe nyambaf
Mzito Kabwela, sisi ni taifa huru, hatuogopi kwani hakuna tulipokosea. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamojaMsijisahaulishe, MABEBERU wanajua kinachoendelea na washatupiga paper za warnings kibao.
Sasa mnawaita kuongea nao nini?Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.
#maendeleohayanavyama
Mzito Kabwela, sisi ni taifa huru, hatuogopi kwani hakuna tulipokosea. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamoja
Mabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.
Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.
Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
Hiyo Ni kazi ya aliyewaita kusema ataongea nini. Hatahivyo, hakikisha saa 4 kamili unafuatilia.Sasa mnawaita kuongea nao nini?
HAKI haitamkikiMabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.
Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.
Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
Kwenye hao Mabalozi atakao washukuru wapo wale wanaotoka kwenye nchi za MABEBERU wasioitakia mema Tanzania?Hiyo Ni kazi ya aliyewaita kusema ataongea nini. Hatahivyo, hakikisha saa 4 kamili unafuatilia.
Tunaweza kubashiri atakachosema
Dkt. Bashiru (kwa niaba ya chama) atawashukur mabalozi kwa ushirikiano wao kwa Tanzania ambayo inaongozwa na CCM.
Atagusia mafanikio yaliyopatikana kutokana na ushirikiano huo mzuri na kuwaomba mabalozi kuuendeleza na kuahidi wao (CCM) kama chama wataendelea kuhakikisha serikali yao inatoa ushirikiano kwa mabalozi na kuimarisha mahusiano mema na nchi wanazotoka mabalozi hao.
Ataeleza Kuhusu mchakato wa uchaguzi na hatua ambazo chama tawala imechukua kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki. Anaweza asijibu tuhuma zozote kwani kwa kueleza mchakato huo ambao utazaa uchaguzi ambao ni huru na haki atakuwa ameshajibu tuhuma, hatahivyo, anaweza kujibu tuhuma pia.
Anaweza pia kuwakumbusha mabalozi Kuhusu wajibu wait na kuwa hawapaswi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kwa mujibu wa Vienna agreement
We use to die in ze rake....Kwani Bashiri ndo mgombea urais, aache kimbelembele...tunamtaka yule mzee wa "we are suppose""we are suppose""we are suppose"
Pamoja na mvua hii, tunawatarajia wafike, kama watakwama kwenye mabarabara au watashindwa kutoka kwenye makazi yao kutokana na wingi wa maji, tutawaomba radhi na kuwaambiaHaa CCM ni kubwa kuliko ofisi za mabalozi wote,yani CCM inawaachisha mabalozi wote kazizao kwa siku ya terehe 15,vyama vingine vinajipeleka.
na wa Ubelgiji atakuwepo!?
Inawezekana. Ngoja niandike uzi Kuhusu mabeberuKwenye hao Mabalozi atakao washukuru wapo wale wanaotoka kwenye nchi za MABEBERU wasioitakia mema Tanzania?