Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Halafu tutawaambia ambia na ndugu zenu huko nyumbani kuwa hapa kila kitu kipo mahali pake. CCM ina magwiji wa siasa. Tulikuwa tunamuangalia tuu Mr. Much Know akijiona kamaliza kumbe tunamuandalia roba ya mbao vile comrade Bashiru anaongea polepole kila neno litapenya kwenye ngome za masikio ya mabalozi
Hivi maneno yote hayo unamaanisha mabalozi wanapiga kura au alafu hao unaojigambanao hapa ndio hao beberu muwemakini wasije kuwananiliii..
 
Sisi CCM ni chama kubwa, CCM ni chama kinachojali maslahi ya taifa letu. Kama chama, tunaamini uongo ukiongewa sana kuihusu serikali inayoongozwa na chama chetu, basi chama kinawajibu wa kusema ukweli ili wanaofikishiwa taarifa wachuje.

Tunaongea na mabalozi Kama moja ya hatua zetu katika kudumisha misingi ya diplomasia yetu. Kwa ufupi vyama vya upinzani vinahitaji kujifunza sana kutoka kwetu
 
Eti anatania hata kutoleta maendeleo kwa wale ambao hatachagua chama chake ana nogesha mkutano wewe nyambaf
Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.

#maendeleohayanavyama
 
Ni muda mzuri kwa mabalozi kuelezewa kuwa CCM itabaki madarakani kwa kutumia vyombo vya dola.
Hivi ile sheria ya vyama vya siasa si inakataza jambo ili, kama alivyoambiwa Zitto baada ya kukutana na Balozi wa Uingereza? (source: taarifa ya Amnesty International kwa Tanzania).
 
Haa CCM ni kubwa kuliko ofisi za mabalozi wote,yani CCM inawaachisha mabalozi wote kazizao kwa siku ya terehe 15,vyama vingine vinajipeleka.
na wa Ubelgiji atakuwepo!?
 
Eti anatania hata kutoleta maendeleo kwa wale ambao hatachagua chama chake ana nogesha mkutano wewe nyambaf
Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.

#maendeleohayanavyama
Msijisahaulishe, MABEBERU wanajua kinachoendelea na washatupiga paper za warnings kibao.
Mzito Kabwela, sisi ni taifa huru, hatuogopi kwani hakuna tulipokosea. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamoja
 
Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.

#maendeleohayanavyama

Mzito Kabwela, sisi ni taifa huru, hatuogopi kwani hakuna tulipokosea. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamoja
Sasa mnawaita kuongea nao nini?
 
Naona mna mkutano na MABEBERU.
Mabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.

Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.

Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
 
Sasa mnawaita kuongea nao nini?
Hiyo Ni kazi ya aliyewaita kusema ataongea nini. Hatahivyo, hakikisha saa 4 kamili unafuatilia.

Tunaweza kubashiri atakachosema

Dkt. Bashiru (kwa niaba ya chama) atawashukur mabalozi kwa ushirikiano wao kwa Tanzania ambayo inaongozwa na CCM.

Atagusia mafanikio yaliyopatikana kutokana na ushirikiano huo mzuri na kuwaomba mabalozi kuuendeleza na kuahidi wao (CCM) kama chama wataendelea kuhakikisha serikali yao inatoa ushirikiano kwa mabalozi na kuimarisha mahusiano mema na nchi wanazotoka mabalozi hao.

Ataeleza Kuhusu mchakato wa uchaguzi na hatua ambazo chama tawala imechukua kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki. Anaweza asijibu tuhuma zozote kwani kwa kueleza mchakato huo ambao utazaa uchaguzi ambao ni huru na haki atakuwa ameshajibu tuhuma, hatahivyo, anaweza kujibu tuhuma pia.

Anaweza pia kuwakumbusha mabalozi Kuhusu wajibu wait na kuwa hawapaswi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kwa mujibu wa Vienna agreement
 
Mabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.

Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.

Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
HAKI haitamkiki
 
Hiyo Ni kazi ya aliyewaita kusema ataongea nini. Hatahivyo, hakikisha saa 4 kamili unafuatilia.

Tunaweza kubashiri atakachosema

Dkt. Bashiru (kwa niaba ya chama) atawashukur mabalozi kwa ushirikiano wao kwa Tanzania ambayo inaongozwa na CCM.

Atagusia mafanikio yaliyopatikana kutokana na ushirikiano huo mzuri na kuwaomba mabalozi kuuendeleza na kuahidi wao (CCM) kama chama wataendelea kuhakikisha serikali yao inatoa ushirikiano kwa mabalozi na kuimarisha mahusiano mema na nchi wanazotoka mabalozi hao.

Ataeleza Kuhusu mchakato wa uchaguzi na hatua ambazo chama tawala imechukua kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki. Anaweza asijibu tuhuma zozote kwani kwa kueleza mchakato huo ambao utazaa uchaguzi ambao ni huru na haki atakuwa ameshajibu tuhuma, hatahivyo, anaweza kujibu tuhuma pia.

Anaweza pia kuwakumbusha mabalozi Kuhusu wajibu wait na kuwa hawapaswi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kwa mujibu wa Vienna agreement
Kwenye hao Mabalozi atakao washukuru wapo wale wanaotoka kwenye nchi za MABEBERU wasioitakia mema Tanzania?
 
Haa CCM ni kubwa kuliko ofisi za mabalozi wote,yani CCM inawaachisha mabalozi wote kazizao kwa siku ya terehe 15,vyama vingine vinajipeleka.
na wa Ubelgiji atakuwepo!?
Pamoja na mvua hii, tunawatarajia wafike, kama watakwama kwenye mabarabara au watashindwa kutoka kwenye makazi yao kutokana na wingi wa maji, tutawaomba radhi na kuwaambia
"Tuliwasikiliza CHADEMA walipotuambia tuachane na hayo maendeleo ya vitu, vipi mnajisikiaje?". Just kidding
 
Ingekuwa rais mtalajiwa lissu ungesikia mataga wanakwambia anaenda kutana na mabeberu na kupanga mipango ya kuuza nchi, ila kwakuwa wao ndo wanaenda kukutana nao huwezi kuwasikia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mgombea yuko wapi kila kitu Bashiru?!

Kwanini asingempisha Bashiru agombee kama hawezi hata kuongea na wageni wake?!
 
Back
Top Bottom