Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally ndani ya Dakika 45 leo Septemba 14

Tofautisha Rais wa JMT/ bingwa wa kupambana na corona duniani NA wachumia tumbo wengine
Bingwa wa kupambana na Corona ndo hataki kuulizwa maswali na waandishi wa habari watanzania tupime uwezo wake na uelewa wake???
 
Ati ccm ni chama pendwa ambacho kinajua hakipendwi ndio maana kmejiandaa kuiba kura
Wasanii wanaotembea na Magufuli kwenye kampeni za urais ni sawa na ubwabwa wa Mzee Rungwe. Vyote ni rushwa na kutojiamini uwezo wako wa kuvuta watu kuja kukusikiliza.
 
Na kutoa unifom za ccm kwa vitoto vya shule mkivilazimisha kujaa kt mikutano ya ccm kama ule wa kirumba mwanza ina maana gani au kwa ccm au ndo pale unapojitekenya ili ucheke?
Hebu tazama hii picha kwanza comrade kabla sijakujibu. Hao unawaona hapo mbele ni vikongwe?
 
Katibu mkuu anaenda kupiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la chadema. Uchambuzi wa prof. Umefanyika mwaka jana mambo yamebadilika imani ya wananchi kwa ccm imezidi kuongezeka
Leo Ni Leo nguli wa Siasa Dr Bashiru Ally anaingia ulingoni
Chadema lazima wachutame Chini
 
Dr Bashiru hataropoka bali ataeleza kwa ustadi wa kisomi ndani ya Dk 45. kwahiyo mzee meko ka kwepa kwa sababu ataropoka siyo kama kawaida yake na hana ustadi wa kisomi, ahahaha Lisu kamatia hapohapo mataga mwaka huu kazi mnayo kelikweli
 
Ni kweli kabisa, ila hicho kipindi kwa sasa ni kwa ajili ya wagombea wa urais. Mtoeni Magufuli ili Polepole akagombea aende kwenye hicho kipindi. Mwanafunzi mwenye akili hufanya mtihani mwenyewe, na wala hatumi mtu kumfanyia.

Nani kasema lazima aende mgombea urais? Tusipangiene mikakati ya ushindi, kila mtu ashinde kwa mbinu zake, kama vile Lissu mwanzoni alivyokuwa anazurula na ndege, ni uamuzi wake ni mikakati wake, tusilazimishane mbinu za ushindi.
 
Tatizo kubwa la Bashiru na Polepole, hawaaminiki, hawana msimamo, WAONGO
 
Tumeona tayari kipindi cha Lissu ITV, hamna cha maana, Magu kwenda hapo hapo ni kumpa kiki tu Lisu, size ya Lissu ni Polepole.
Meko hana saizi yoyote amebakia tu kutapatapa haoni hata pa kushika, maji ya shingo,usishangae siku mbili kabla ya uchaguzi mradi wa bomba la mafuta ukazinduliwa rasmi tena
 
Katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa Chama anayekijua in and out
Ni aibu kuwa na mgombea ambae hawezi hata kuhimili maswali ya waandishi wa Habari!!! Kama vipi mgombea wenu si angekuwa Bashiru?? Kwa nini mnajodhalilisha hivi na mgombea wenu ambae hana maono wala uelewa mpana hadi mnamficha na midahalo na waandishi wa habari???
 
Kuna watu wa aina nyingi: kuna wale mungu amewajaalia kutenda na matokeo ya matendo yao kuongea kwa niaba yao, na pia kuna aina nyingine waliojaaliwa kuongea tuuu! Hawa matendo ni machache!, - Magufuli (matendo) vs Lissu (maneno tu).
 
Una hasira na umepanic!

Haya matusi hayamfanyi Lisu apate zaidi ya 20% anazotegemewa kupata mwaka huu
 
Katibu mkuu anaenda kupiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la chadema. Uchambuzi wa prof. Umefanyika mwaka jana mambo yamebadilika imani ya wananchi kwa ccm imezidi kuongezeka
CCM mpya hapa hamjamtendea haki Mgonbea uraisi 2020. Mnawapa room wapinzani kupigia msumari madhaifu ya mgombea. Kuweka mambo sasa, mara elfu angehojiwa yeye kuondoa dhana potofu kwa watanzania.
 
14 September 2020
Chato, Tanzania

Dk Bashiru amkingia kifua mgombea Urais wa CCM 2020


Dk Bashiru Ally Kakurwa , Katibu Mkuu wa chama cha CCM amuonya Tundu Lissu aache kumchokonoa Rais Magufuli: Natamka hili kwa mara ya mwisho
 
Sina muda mchafu wa kumsiliza huyu.Bora nimsikilize Magu
 
Kila chama na mikakati yake, wao CHADEMA wamempeleka Lissu kwenye hicho kipindi, Magu yeye ameamua kutembea kijiji kwa kijiji, kila mtu ashinde mechi zake tusilazimishane njia za kupiga kampeni.
Mbona magu ilikua akipiga kampeni na kupita kijiji hadi kijiji kuanzia mwaka 2016 mpaka Leo kwahiyo hajamaliza kutaangaza madaraja na uwanja wa chato

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tunamtaka Magufuli kwenye 45Min. Bashiri siyo mgombea hana mvuto wala hatajibu maswali tunayotaka kujua ikiwemo makosa na mauchafu aliyofanya boss wake
 
Maisha Yanakwenda Kasi Mno...

#Uchaguzi Mkuu 2015...

Chadema UKAWA waliweka mpira kwapani wakamzuia mh.Lowassa kwa kuukataa mdahalo...😂😂

Tuweni na KUMBUKUMBU aseee
Sawa Lowassa halikuwa fit kushirika mdahalo wote kwasasa tuna wakili msomi yupo imara nanyie muna Phd holder kwanza debate iwe kwa lugha ya kibeberu si wote wamesomea vitabu vyawo kwa kizungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…