Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeondoka na Mbowe wako? Kuanzia leo hutakuwa Tena na taarifa nyeti za nzani Mr Boni Yai
 
Hatakiwi kua mwanaharakati. Anatakiwa kua smart zaidi kichwani sababu yeye ndo mtendaji mkuu wa chama. Lema ni mwanaharakati anafaa nafasi ya uenezi
Uko sahihi, Wangempa yule wa morogoro anaitwa Marcus albanie
 
POLE SANA KWA ANGUKO LA MUMEO NJAA INATAMALAKI KWAKO SASA LISSU HATAKI UJINGA
 
Inasemekana Sugu.
 
Mjitahidi awe Muislamu. Ni wakati wa chama kuanza kuondokana na picha waliyokuwa nayo ya kuwa chama cha wWakristo.
Acheni hizo...

CCM kamati Kuu yake na Halmashauri Kuu ina waislamu wengi mbona hamsemi chama cha waislamu?

Kila wakati CHADEMA inahamishiwa goli. Wamemalizana na propaganda za uchaga mnaleta mambo ya ukristo tena.
 
Atakuwa lema, chadema sasa itaongozwa na wehu watupu

Hii ni nchi ya wehu. Raisi mzima anaenda Dodoma kwenye vikao vya Chama na ku surprise watu na makamu kama kiki za kisanii. Hakuna uwazi nani kampendekeza na kwa utaratibu upi inawezena ni chaguo la Abdul!. Wana waalika machawa na wasanii wajinga jinga. Chadema imeheshimisha kwamba kumbe kuna Watanzania wanataka demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…