Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Mkuu korona ipo na ni kweli kuna watu wanadondoka kwa korona na wengine mgonjwa mengine.Acha ujinga yaan uti udondoke ghafla.Hii kali duuh bila shaka utakua mshauri wa jiwe mnawapa watu matumain nyie mmejificha ubinafs wa kishetan huu
Sijasikia mkuu.Hii habari kuwa mortuary za Dar zimezidiwa, umeshaisikia.?
Tega sikio
Na sio wanaume tu sema wanaume wenye vitambi na nyadhifa zao!! Katika kesi zote za vifo ninazoziona 90% ni wenye vitambi ambao mazoezi kwao ni suala gumu!!!Huyu kirusi wa corona atakuwa wa kike, mbona anapenda sana wanaume?
Hali mbaya sana mkuu!!Huko "kudondoka" unakokusema wewe kwann kumezidi sana Safari hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kigumu kama kuwafungia wazeeRaisi basi ataangaze watu wa miaka 60+ wasitoke nje kabisa angalau kwa siku 21 hao watu wako vulnerable sana nahili gonjwa, ili kupunguza kasi hi ya vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihami mkuu......maanayake tumkimbie mkimbizi? Haiwezekani hii nchi ni yetu. Kaanza yeye kukimbilia chato watafuata wa kolomije na mwibara huko sisi watz 55mil tutabaki hapahapa....
Sina swali mkuuWalikuwa wanadondoka sema kwa sasa mtu akidondoka lazima waje "WAJUBA wa MOH" wavaa manailoni waje kumchukua sasa wakija wale "WAJUBA" lazima itakuwa story tu kitaa na info kusambaa.
Iko wapi,nauli shing ngapi Hadi hukoNenda Rubondo
serikali iwe makini watu wasiovaa PPE wasiruhusiwe kukaribia mwili wa anayehisiwa kufariki na Covid19,Acha kabisa. Mwingine asubuhi hii kadondoka akiwa gym hapo Osterbay
View attachment 1443449
This is itbaada ya kubanwa kifua ghafla
WHAT IS THIS?
Changamoto ya upumuajibaada ya kubanwa kifua ghafla
WHAT IS THIS?
Wakike hawatangazwi.Huyu kirusi wa corona atakuwa wa kike, mbona anapenda sana wanaume?
Mwenyekiti wa nini?R.I.P Mwenyekiti
.... hali inatisha wakuu! Halafu tunaaminishwa vifo bado ni 16 tu? Nadhani hali ni mbaya kuliko tunavyofikiria
Sasa unakuwaje mzima halafu unafungwa vile?Naona kafungwa kama tayari ashaaga dunia!