TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

Acha ujinga yaan uti udondoke ghafla.Hii kali duuh bila shaka utakua mshauri wa jiwe mnawapa watu matumain nyie mmejificha ubinafs wa kishetan huu
Mkuu korona ipo na ni kweli kuna watu wanadondoka kwa korona na wengine mgonjwa mengine.
 
Aliyeanzisha uzi wa buriani aliona mbali sana.

Just a matter of time.

Ni hadi pale litakapotufikia mmoja mmoja kila mtu kwa wakati wake.

Tangulia Mrutu tuko nyuma yako.

Inasikitisha watu tumetelekezwa kujifia.

Eeh mola wetu hadi lini utaacha hali hii kuendelea?
 
Pumzika kwa amani mzee Mrutu, ulikuwa mstari wa mbele kuwatetea maslahi ya wenye mabasi ya abiria
 
Mpaka tutasema ukweli juu ya Corona, maana uongo na upotoshaji vimekuwa ndio mwongozo wa kitaifa
 
RIP Enea, tulipiga dili flan na we nikaambulia million moja katila kuitoa gari yako ile higher bus 2015
 
Back
Top Bottom