Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

Wewe popoma wakati comrade Kibao ametekwa na kuuwawa na polisi wa Samia wewe bado huamini kuwa wamemuua ?
As commander in chief of our security forces, Samia is accountable for all their actions including the killing of innocent civilians.
Acha kuropoka ropoka kama mlevi wa gongo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

Ametoa sifa na pongezi hizo alipokutana na kufanya mazungumzo Ofisini na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa alipokutana naye Nchni Marekani .ambako yupo huko kwa ajili ya kumuwakilisha Mama yetu Mpendwa katika mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. lenye kauli mbiu ya kutokumuacha yeyote yule nyuma. Kushirikiana Pamoja kuendeleza Amani , maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Katibu Mkuu huyo Ameipongeza sana Tanzania kwa kupokea kwa miaka mingi wakimbizi kutoka Nchini Burundi na kuwahifadhi ,mpaka sasa ambapo nchi hiyo imetulia ,kuwa na amani na utulivu. Ameipongeza Tanzania kuendelea kutoa na kupeleka wanajeshi wake kulinda amani katika nchi mbalimbali ndani ya jumuia ya Afrika mashariki pamoja na SADC ,pamoja na kusaidia sana katika ukombozi wa nchi mbalimbali za Afrika kujipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni..

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa amemueleza juu ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu pamoja na uchaguzi Mkuu hapo mwakani.

Waziri Mkuu hapo kesho atashiriki katika mkutano huo na kutoa salamu za serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na Nahodha wetu makini na shujaa wetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye anaendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa mioyo ya watuView attachment 3102431

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zile damu mnaenda kuzimwaga J3 ndiyo zinakwenda ku trigger anguko la CCM.
 
Tutaona jumatatu. Wenzetu Kenya wanafanya kwa vitendo sisi uchawa
 
Attachments

  • f0019216-82cd-4c3a-a729-8edfaf5543e2.mov
    7.4 MB
UN HQ
New York City

Readouts on 21 September 2024

The Secretary-General met with H.E. Mr. Kassim Majaliwa Majaliwa, MP, Prime Minister of the United Republic of Tanzania.

They discussed the peace and security situation in the Great Lakes region, areas of mutual interest in development and the promotion of Human Rights in Tanzania.

1726951994042.png

Photo opportunity: The Secretary General with H.E. Mr. Kassim Majaliwa Majaliwa, MP, Prime Minister, United Republic of Tanzania

Source : Readout of the Secretary-General’s meeting with H.E. Mr. Kassim Majaliwa Majaliwa, MP, Prime Minister of the United Republic of Tanzania | United Nations Secretary-General
 
“Peace is not an absence of war, it is a virtue, a state of mind, a disposition for benevolence, confidence, justice.” – Spinoza, Theologico-Political Treatise, 1670. From the series Great Ideas of Western Man.
 
Na tutailinda kwa gharama yoyote ile, tukiongozwa na Rais, kipenz cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan 🌹
"Peace cannot be kept by force, it can only be achieved by understanding" - Albert Einstein. If this is true, then "by all means" doesn't apply because it may mean using "bad" and good means. Using "bad means" implies the breach of the peace. So, it cannot be a way of achieving peace. When you want to achieve something good/positive make sure both the means and the end are good. That is the ambiguity with "by all means" - "by hook or crook".
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

Ametoa sifa na pongezi hizo alipokutana na kufanya mazungumzo Ofisini na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa alipokutana naye Nchni Marekani .ambako yupo huko kwa ajili ya kumuwakilisha Mama yetu Mpendwa katika mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. lenye kauli mbiu ya kutokumuacha yeyote yule nyuma. Kushirikiana Pamoja kuendeleza Amani , maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Katibu Mkuu huyo Ameipongeza sana Tanzania kwa kupokea kwa miaka mingi wakimbizi kutoka Nchini Burundi na kuwahifadhi ,mpaka sasa ambapo nchi hiyo imetulia ,kuwa na amani na utulivu. Ameipongeza Tanzania kuendelea kutoa na kupeleka wanajeshi wake kulinda amani katika nchi mbalimbali ndani ya jumuia ya Afrika mashariki pamoja na SADC ,pamoja na kusaidia sana katika ukombozi wa nchi mbalimbali za Afrika kujipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni..

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa amemueleza juu ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu pamoja na uchaguzi Mkuu hapo mwakani.

Waziri Mkuu hapo kesho atashiriki katika mkutano huo na kutoa salamu za serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na Nahodha wetu makini na shujaa wetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye anaendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa mioyo ya watuView attachment 3102431

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hizi propaganda zinafanana na zile za wakati wa Magufuli.
 
Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
Weka video nzima acha longolongo Mrs. @mafwwle
 
Hakuna lolote!
...a hungry man is an angry man...
Bado kidogo viongozi watatuelewa tu...
 
"Peace cannot be kept by force, it can only be achieved by understanding" - Albert Einstein. If this is true, then "by all means" doesn't apply because it may mean using "bad" and good means. Using "bad means" implies the breach of the peace. So, it cannot be a way of achieving peace. When you want to achieve something good/positive make sure both the means and the end are good. That is the ambiguity with "by all means" - "by hook or crook".
regardless of your little understandings on it, knowingly or not.

our national unit and peace will be protected will all cost and without delay or hasitating on taking measures that will make it unshaken 🐒

just go on with your useless intentions of I don't know who must go, then you will face something you never ever faced it at your entire life 🐒
 
Back
Top Bottom