jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Hivi "AMANI" na "UVUMILIVU" ni vitu vinafanana?
BTW adui yako akianza kukusifia, inabidi uanze kujitafakari.
BTW adui yako akianza kukusifia, inabidi uanze kujitafakari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ganda la muwa la jana, chungu kaona kivunoNdugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.
Ametoa sifa na pongezi hizo alipokutana na kufanya mazungumzo Ofisini na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa alipokutana naye Nchni Marekani .ambako yupo huko kwa ajili ya kumuwakilisha Mama yetu Mpendwa katika mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. lenye kauli mbiu ya kutokumuacha yeyote yule nyuma. Kushirikiana Pamoja kuendeleza Amani , maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Katibu Mkuu huyo Ameipongeza sana Tanzania kwa kupokea kwa miaka mingi wakimbizi kutoka Nchini Burundi na kuwahifadhi ,mpaka sasa ambapo nchi hiyo imetulia ,kuwa na amani na utulivu. Ameipongeza Tanzania kuendelea kutoa na kupeleka wanajeshi wake kulinda amani katika nchi mbalimbali ndani ya jumuia ya Afrika mashariki pamoja na SADC ,pamoja na kusaidia sana katika ukombozi wa nchi mbalimbali za Afrika kujipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni..
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa amemueleza juu ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu pamoja na uchaguzi Mkuu hapo mwakani.
Waziri Mkuu hapo kesho atashiriki katika mkutano huo na kutoa salamu za serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na Nahodha wetu makini na shujaa wetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye anaendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa mioyo ya watuView attachment 3102431
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acheni wivu wenuWabongo bana! Tunapenda kweli kusifiwa wkt hatuna hata tija na tunaona kbs tumebofoa ila tukipewa sifa tunakimbia kama mazuzu na kujisifia. Haya mwashamba tumekusikia
Wivu tuGanda la muwa la jana, chungu kaona kivuno
As usual you cannot discuss issues without mixing up things. As I shared with you in the other post we seem to be discussing different things altogether. I don't like people who think for me or push their thoughts in me. Since I enjoy peace as you do, let me declare that I'm not interested in this kind of discussion of mixing up things.regardless of your little understandings on it, knowingly or not.
our national unit and peace will be protected will all cost and without delay or hasitating on taking measures that will make it unshaken 🐒
just go on with your useless intentions of I don't know who must go, then you will face something you never ever faced it at your entire life 🐒
mix yourself in demonstration then, and you will face a mixer itself 🐒As usual you cannot discuss issues without mixing up things. As I shared with you in the other post we seem to be discussing different things altogether. I don't like people who think for me or push their thoughts in me. Since I enjoy peace as you do, let me declare that I'm not interested in this kind of discussion of mixing up things.
Tumkaribishe matembezi ya amani ya 23/9.Mmmh!
Kinara wa amani barani Afrika?
You see, you're there again! I told you I don't belong to any political party. I can only affirm the good in any party and decry what is bad in any party as well. I don't and won't participate in any party politics apart from just reading and sometimes commenting on what interests me. But you seem to suggest that when a person differs with your opinion, then must belong to an adversary party, which is a wrong perception and even errenous conclusion. The last card I have which expired very many years ago is "Kadi ya Vijana" and I got it because of the circumstances of the time and although I used to pay annual fees I never attended any party meeting and I have never done it since I was born. I don't intend to do so in any circumstance whatsoever nor participate in any political gathering of any nature. This is my position as far as local party politics is concerned.mix yourself in demonstration then, and you will face a mixer itself 🐒
Muache akaandamane ili akaone cha mtema kuni na kurudi na ndala mkononi.Bon yai alijifanya mbabe lakini aliishia kujificha uvunguni kwa gari huku akihemeana kama Bata.mix yourself in demonstration then, and you will face a mixer itself 🐒
Mbona wewe hujapoteaHajaambiwa Hali ya watu kupotea Kwa kutekwa Kwa maelekezo ya mama Abdul ndiyo maana amesifu
Unataka watupoteze watanzania wote?Mbona wewe hujapotea
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.
Ametoa sifa na pongezi hizo alipokutana na kufanya mazungumzo Ofisini na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa alipokutana naye Nchni Marekani .ambako yupo huko kwa ajili ya kumuwakilisha Mama yetu Mpendwa katika mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. lenye kauli mbiu ya kutokumuacha yeyote yule nyuma. Kushirikiana Pamoja kuendeleza Amani , maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Katibu Mkuu huyo Ameipongeza sana Tanzania kwa kupokea kwa miaka mingi wakimbizi kutoka Nchini Burundi na kuwahifadhi ,mpaka sasa ambapo nchi hiyo imetulia ,kuwa na amani na utulivu. Ameipongeza Tanzania kuendelea kutoa na kupeleka wanajeshi wake kulinda amani katika nchi mbalimbali ndani ya jumuia ya Afrika mashariki pamoja na SADC ,pamoja na kusaidia sana katika ukombozi wa nchi mbalimbali za Afrika kujipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni..
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasimu Majaliwa amemueleza juu ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu pamoja na uchaguzi Mkuu hapo mwakani.
Waziri Mkuu hapo kesho atashiriki katika mkutano huo na kutoa salamu za serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na Nahodha wetu makini na shujaa wetu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye anaendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa mioyo ya watuView attachment 3102431
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Relax then,You see, you're there again! I told you I don't belong to any political party. I can only affirm the good in any party and decry what is bad in any party as well. I don't and won't participate in any party politics apart from just reading and sometimes commenting on what interests me. But you seem to suggest that when a person differs with your opinion, then must belong to an adversary party, which is a wrong perception and even errenous conclusion. The last card I have which expired very many years ago is "Kadi ya Vijana" and I got it because of the circumstances of the time and although I used to pay annual fees I never attended any party meeting and I have never done it since I was born. I don't intend to do so in any circumstance whatsoever nor participate in any political gathering of any nature. This is my position as far as local party politics is concerned.
You can do it for me.Relax then,
It is once said, if you isolate yourself at taking part in political administrations, don't blame to ruled by a fool.
Let's us all, build and protect our beautiful country together 🐒
With Grace and Blessings of God, I can do that.You can do it for me.
My.principle (methodical doubt principle) is to doubt everything lest I'm misled to believe what's false. So, I can only trust when I see something working for me and not what other people say it is working.With Grace and Blessings of God, I can do that.
You Just relax,
Believe in God and trust in me, you and others Tanzanians will enjoy development 🐒