Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti


Dr Abbas achana na mambo ya MEKO vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vifunguliwe ,mbona unakuwa kama Zero Brain?
 
Huyu nae anatuchelewesha bora aachie ngazi ili KAZI IENDELEE
 
Huyu katibu mkuu ni mpuuzi kabisa.
Hivi ana akili timamu kweli?
Mama kasema vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe mara moja, akataja na mifano. Sasa wewe katibu mkuu hujiongezi tu?
Huoni mantiki ya mama ni nini?
Unataka uambiwe kila kitu?
 
Abbas alikuwa ni kibaraka wa Magufuli hawezi kufurahia tangazo hili, amekuwa akinyanyasa sana vyombo vya habari hakujua kwamba huu muda ungeweza kuwadia na aliyekuwa akimsujudu kuitwa hayati.

Abbas whatever goes up must come down and perhaps soon you will no longer be calling the shots.
 
Fungua Tanzania Daima, Fungua Mwanahalisi
 
Abbas ana ujinga fulani sasa aendeleze atajikuta ameenda kuwa Afisa Mtendaji wa kata. Hapo Ina maana hakuelewa alichoambiwa kwamba aangalie wote waliofungiwa awafungulie kwa utaratibu, Ina maana kuna wanaostahili msamaha kama walishahukumiwa wafunguliwe na wapewe onyo na waambiwe kwa nini wamefunguliwa.

Kwa Wale ambao kesi zao bado zipo pending waziharakishe wamalize, Ina maana wanaweza kuweka program maalum ya utekelezaji wa hayo mashauri kwa kufast track hizo kesi pending.

Hii haihitaji maelekezo zaidi. Tatizo la Hassan alijiweka kwenye usemaji wa serikali kushinda ukatibu hapo sasa kuna gap kubwa asipokuwa makini tutalima nae matikiti kule kwao. Au atarudi tupige jalamba mahakamani
 
Ana hamu ya kumwona mama mmbaya
 
Ameambiwa afungulie vyote asilete ujuaji!
 
Zingatia paragraph tukusome. Unatuumiza macho.

Kila baada ya sentensi tatu, nne, paragraph ni muhimu.

Sijasoma chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…