3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Yaani anahitaji maagizo mara mbilimbili aisee, huyu ni tatizo kwa hiyo alihitaji Rais ataje orodha kabisa kafungue hiki na hiki na hiki ndiyo atekeleze. Huyu katibu amekosea hata akiliwa kichwa ni halali yake.