Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

Hivi huyu ana akili kweli?Nadhani anataka maelekezo kwamba akapumzike,anafikiri enzi za Mwendazake hizi,atazinguliwa na Mama muda si mrefu
 
Just imagine tunae kiongozi matako kama huyu!!?
 
Hakuna kingine zaidi ya dharau tu!nina uhakika kama maagizo yale yangekuwa yametolewa na Hayati John Joseph Magufuli wakati yuko hai muda huu kungekuwa kulishafanyika press conference na vyombo vya habari kutangaza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kutekeleza agizo la Rais,agizo hili lisingelala leo.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
Mkumbusheni kua magu hayupo, hivyo awe huru
 
Huyu ana bahati sana maana Rais wa awamu ya sita anatumia lugha ya kimama. Kesho tu utasikia anaambiwa "Nimeamua kumsaidia Katibu mkuu wizara ya Habari, vijana na michezo, na badala yake kazi hiyo ataifanya Charles Hilary"!😄😄😄😄

Inaonekana Abbasi bado anaamini Jiwe bado lipo!
Mama naomba huyu asituharibie salaam yetu, sisi tunasema Salaam kwa jina la Jamuhuri ya Muungano, yeye badala ya kusema kazi inaendelea anasema hakuna kazi yoyote. FUKUZA HII KITU!
 
Yani mkuu wa nchi wasasa anataka uhuru wahabari harafu wewe bado uko zama zilee!
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l

Mbona Dkt. Hassan Abbas leo anakuwa Mpole na Mtiifu hivi isivyo kawaida yake? Alidharau wasio na PhD ila asiyekuwa nayo ndiyo Rais.

Aliongoza sana katika Kuwatishia Waandishi wa Habari wakati wa Hayati Rais JPM na alipenda sana Kusujudiwa na Media Outlets nchini.
 
Ask him kama Magufuli angekuwa amesema haya angethubutu kusubiri barua? Angekwenda extra mile to please him. This is being disrespectful to Mama and he needs to carefully consider his position .

Mama anajihujumu mwenyewe huko kwenda extra maili ndio kakuita maguvu na nini tena vile. .. mabavu. Self infliction distruction. Achunge sana kauli zake zitamwinda.

Sishangai JPM kusema alimtaka Hussein Mwinyi.

Kwa kauli za hizi hotuba zake mbili tatu baada ya kuwa Rais nina kuhakishia wako wa saidizi wake wa meshaona they have nothing to loose hata akiwatumbua. Eti ulitupwa huko Mwanza as if Mwanza si Tanzania.
 
Huyu alikuwa anatumia simujanja kujibu uzi wa Jf.Tofauti na kutumia kompyuta ukitaka kuweka para inaenda kabla hujakamilisha ulichokusudia kuandika.
Sawa, uko sawa, wote tunakosea mara nyingi tu, sio issue.
 
Mama anajihujumu mwenyewe huko kwenda extra maili ndio kakuita maguvu na nini tena vile. .. mabavu. Self infliction distruction. Achunge sana kauli zake zitamwinda.

Sishangai JPM kusema alimtaka Hussein Mwinyi.

Kwa kauli za hizi hotuba zake mbili tatu baada ya kuwa Rais nina kuhakishia wako wa saidizi wake wa meshaona they have nothing to loose hata akiwatumbua. Eti ulitupwa huko Mwanza as if Mwanza si Tanzania.
Sasa mkuu, hiyo ni ngumu, 60m people kila kuridhika ni vigumu. Tumpe muda miaka miwili, mitano
 
Huu ni ubaguzi na chuki dhidi ya maumbile ya binadamu wengine.

Je haitoshi kusema katibu huyu hana adabu kwa Rais adhibitiwe hadi unatukana watu wengine wasiohusika?
Mtu mwenye kitambi kikubwa anakua amebeba mavi tumboni bila kujijua hata akili yake inakua ndogo, hiwezi beba furushi la mavi kwenye ule mtumbo akili ikawa sawasawa. Tena iangaliwe viongozi wenye vitambi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
Washaanza kumfanyia figisu mama. Enzi za JPM wala asinvesubutu kusema hivyo. Mama asipoangalia, Hawa Jamaa watamjaribu kwanza!!
 
Mjadala umeshafungwa,ni vijitv tu ndiyo vinafunguliwa,magazeti bado yanaendelea kuwekwa lupango, CCM ni ileile
 
Back
Top Bottom