3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Huyu alikuwa anatumia simujanja kujibu uzi wa Jf.Tofauti na kutumia kompyuta ukitaka kuweka para inaenda kabla hujakamilisha ulichokusudia kuandika.Zingatia paragraph tukusome. Unatuumiza macho.
Kila baada ya sentensi tatu, nne, paragraph ni muhimu.
Sijasoma chochote.
Mungu hamfichi mnafiki..Mungu anawaumbua tu kabla mama hajafika mbaliYaani anahitaji maagizo mara mbilimbili aisee, huyu ni tatizo kwa hiyo alihitaji Rais ataje orodha kabisa kafungue hiki na hiki na hiki ndiyo atekeleze. Huyu katibu amekosea hata akiliwa kichwa ni halali yake.
Inaelekea hakumwela rais wetu.
iKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundoAmeambiwa afungulie vyote asilete ujuaji!
Kipo anachokitafuta atakipataKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
Huyu nae kapitwa na wakatiKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l