Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Apr 7, 2021 #81 King Kong III said: Dr Abbas achana na mambo ya MEKO vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vifunguliwe ,mbona unakuwa kama Zero Brain? Click to expand... Msomi mpumbavu
King Kong III said: Dr Abbas achana na mambo ya MEKO vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vifunguliwe ,mbona unakuwa kama Zero Brain? Click to expand... Msomi mpumbavu
C cool d JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 1,743 Reaction score 1,751 Apr 7, 2021 #82 Atasubirije Kama hajamuelewa boss wake amuulize amueleweshe kwani hawana ofisi email za kuwasiliana Ili kutoa majibu sahihi kuliko kusema anakaa tu akisubiri kupelekewa kazi za kufanya yeye Hana dira wala hajui boss wake anataka nini kwa wananchi.
Atasubirije Kama hajamuelewa boss wake amuulize amueleweshe kwani hawana ofisi email za kuwasiliana Ili kutoa majibu sahihi kuliko kusema anakaa tu akisubiri kupelekewa kazi za kufanya yeye Hana dira wala hajui boss wake anataka nini kwa wananchi.
chikutentema JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 7,694 Reaction score 4,954 Apr 7, 2021 #83 Abas hajajua zama zimebadirika sio?
chikutentema JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 7,694 Reaction score 4,954 Apr 7, 2021 #84 Hizi ni dharau kubwa sana, mama tuondolee hii takataka haiendani na kasi yako
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Apr 7, 2021 #85 King Kong III said: Dr Abbas achana na mambo ya MEKO vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vifunguliwe ,mbona unakuwa kama Zero Brain? Click to expand... Haa nakapenda haka kausemi 'ukizingua tutazinguana'
King Kong III said: Dr Abbas achana na mambo ya MEKO vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vifunguliwe ,mbona unakuwa kama Zero Brain? Click to expand... Haa nakapenda haka kausemi 'ukizingua tutazinguana'