Umenitangulia kuwaza hivyo MkuuJiwe anajisafisha tu!maandalizi ya oktoba!!!HUU NI USANII!!!
Dola 800 kuna Watanzania wengi hicho ni kipato chao cha mwaka mzima.Yaani lugola anaidhinisha allowance ya dola 800 per day kwenye vikao vya kupitisha huo mradi, kumbe ndiyo maana alikuwa tayari kucheza ngoma mbele ya rais ili amfurahishe na kuficha madhambi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tupu mkuu! Mfano Tobias Andengenye nimesoma naye ni mtu mwadilifu sana kiasi kwamba Schoolmates zake wote tulikuwa tunajivunia hatua aliyokuwa nayo kwa kusema anaistahili kwa sababu ya uadirifu wake. Lakini ghafla anazalilishwana Mteuzi na Mtenguaji.
Hana mke..?Daah! Maskini mzee lugola sasa angekuwa na mke angemliwaza angalau
Kwani yule waliyenengua naye hadharani hakumuoa?Daah! Maskini mzee lugola sasa angekuwa na mke angemliwaza angalau
Lugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Zile nguo je? Na katiba ile?Hapo safi kabisa ili atembee vizuri na ilani ya chama cha mapinduzi na azidi kuitangaza ilani vizuri
Sent from my iPhone using JamiiForums