Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Professor ajiandae!

Kangi Lugola amebambikwa Makosa tu, kuhusu huo Mkataba, Jiwe anatabia moja ya kisiasa, anaweza kukubalia kitu cha kijinga, akijua unafanya makosa ili akunyooshee kidole, akutumbue! kutishia wengine!

Serikali hii mimi nilimwambia mheshimiwa sitaki kufanya na wewe! na kaa pembeni!

Yeye Mkuu anatamani kila siku aonekane mbele ya public ndo anajua kuchapa kazi, na mwenye akili tu. wengine wote wanakurupuka kufanya maamuzi!

Kwani yeye hana Dhambi?
 
Meja General amepewa heshima kwa kutosemwa hadharani ametumbuliwa ila 'ameandika barua ya kujiuzulu' ila yule wa kule zimamoto sasa chap chap mchezo umeisha.

Kweli JW wanaheshimika.

dodge
Labda aliambiwa aandike barua,hivi kweli mswahili anawezajiuzuru kweli? Yaani kutoka mezani kwa hiari kweli
 
Labda aliambiwa aandike barua,hivi kweli mswahili anawezajiuzuru kweli? Yaani kutoka mezani kwa hiari kweli
Kuna uwezekano kabisa aliambiwa aandike hio barua yaani anatumbuliwa kwa staha tofauti kabisaaa na watu wengine mkuu.

Yaani huwezi kusikia neno Major General atumbuliwa,NEVER

dodge
 
Kuna uwezekano kabisa aliambiwa aandike hio barua yaani anatumbuliwa kwa staha tofauti kabisaaa na watu wengine mkuu.

Yaani huwezi kusikia neno Major General atumbuliwa,NEVER

dodge
Si unaona wale Wa dhahabu mwanza walivosamehewa kwa staha inaonekana kama iliwachoma wenzao wanaowasaidia goli la mkono
 
Watu wanaishi kwa matukio hapa tena mengine ya kutengenezewa wanarushiwa wahangaike nayo. Hawana huo uwezo kuacha kurukia tukio jipya kama nyani na matawi ya mti.

Kweli ukisikia mtu mweusi ni mjinga usikatae. Mfano ww unaponda wanaojadili hili tukio, wakati ww mwenyewe uko humu humu unajadili, na hakuna popote ulipoanzisha mada yenye tija!
 
Rais John Magufuli amesema Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye hawafai kuwa katika nyadhifa hizo #MwananchiUpdates

Yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Du pole zake Kange Lugola. Sasa tuone yale mauno aliyokuwa anakata huku akibariki mauaji ya raia wasiokuwa na hatia atayafanyia wapi. Go to hell Lugola & Co.
 
Kasi hii ya utumbuaji ni zaidi ya Air force one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…