Huenda najua zaidi yako mkuu,
Kwahiyo wao si watumishi wa umma kwasababu wanapewa upendeleo kuliko watumishi wengine ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanajeshi ni mtumishi wa nani?wanajeshi si raia! hvyo si watumishi wa raia(umma),
Swali lako lina mantiki. Ila jaribu kufatilia zaidi kumbukumbu za Bunge ili kuona kama nilichokisema kuhusu Muswada ule ni sahihi au la, kwanini walipitisha jambo lile?
kwa hili nadhani watu ni kushindwa kufuatlia mambo au ni kushabikia uwongo wa wanasiasa.Kwani yeye nani alipitisha ununuzi wa ndege?? /na yeye aachie ngazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajaza mwenyewe nchi uipendayo hata cape verdeKwenye uzi wako huu, unazungumzia wanajeshi wa baadhi ya nchi au unazungumzia Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kusikia kuwa hao sio raia. Hao askari.
Divide and ruleKama sikosei kuna mswada ulipitishwa Bungeni mwaka 2017 wa kuyaondoa majeshi yote toka Utumishi wa Umma, sijui wakapelekwa category gani vile.
Baada ya hatua ile nikajua kada zitakazobaki ndani ya Public Service imekula kwao. Ile move ilikuwa well calculated.
Wacha bange wewe [emoji706]Utajaza mwenyewe nchi uipendayo hata cape verde
Kwahiyo askari si watumishi wa umma?Hujawahi kusikia kuwa hao sio raia. Hao askari.
Unadhani ukiita dogo ndio nakua dogo. Ungeniona ungetimua mbio labda.Dogo kaa kwa kutulia, sioni kama unajipya.